
Waziri wa Mafuta na Gesi kutoka Serikali ya Oman Dkt. Mohamed Bin Hamed Al–Rumhi akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Maeneo ya Uwekezaji Kiuchumi (EPZA) Kapteni George Simbakalia alipokuwa katika ziara ya kutembelea maeneo ya uwekezaji wilayani Bagamoyo leo. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo.

Waziri wa Mafuta na Gesi kutoka Serikali ya Oman Dkt. Mohamed Bin Hamed Al–Rumhi akitazama jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo wakati wa ziara yake wilayani Bagamoyo leo. Waziri huyo ametembelea maeneo ya uwekezaji ya Mamlaka ya Maeneo ya Uwekezaji Kiuchumi (EPZA), maeneo ya Kihistoria la Kaole na eneo itakapojengwa bandari.Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo na Naibu Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhandisi Stellah Manyanya.

Naibu Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhandisi Stellah Manyanya akielezea jambo mbele ya Waziri wa Mafuta na Gesi kutoka Serikali ya Oman Dkt. Mohamed Bin Hamed Al–Rumhi alipotembelea eneo la bandari ya Bagamoyo wakati wa ziara yake kutembelea maeneo ya uwekezaji wilayani Bagamoyo leo. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo na Naibu Waziri wa Utalii wa Oman Bi. Maitha Saif Majid Al- Mahrouqi (mwenye ushungi).

Naibu Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhandisi Stellah Manyanya akipokea zawadi toka kwa Waziri wa Mafuta na Gesi wa Serikali ya Oman Dkt. Mohamed Bin Hamed Al–Rumhi wakati wa ziara ya kutembelea maeneo ya uwekezaji wilayani Bagamoyo leo. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Alhaj Majjid Hemed.

Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo akiwaonyesha eneo la bahari ujumbe kutoka Serikali ya Oman unaoopngozwa na Waziri wa Mafuta na Gesi kutoka Serikali ya Oman Dkt. Mohamed Bin Hamed Al–Rumhi (mwenye miwani mwenyeusi) walipotembelea eneo la Bandari ya Bagamoyo iliyopo Mbegani katika ziara ya kutembelea maeneo ya uwekezaji na historia wilayani Bagamoyo leo. Mwenye vazi la kitenge ni Naibu Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhandisi Stellah Manyanya.

Kutoka kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Alhaji Majjid Hemed, Mkuu wa Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo, Waziri wa Mafuta na Gesi kutoka Serikali ya Oman Dkt. Mohamed Bin Hamed Al–Rumhi Naibu Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhandisi Stellah Manyanya wakitoka katika Bandari ya Bagamoyo wakati wa ziara ya Waziri huyo katika maeneo ya uwekezaji kiuchumi (EPZA), maeneo ya kihistoria la Kaole na eneo itakapojengwa bandari mpya.

Kutoka kulia ni Naibu Waziri wa Utalii wa Oman Bi. Maitha Saif Majid Al- Mahrouqi, Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo, Waziri wa Mafuta na Gesi kutoka Serikali ya Oman Dkt. Mohamed Bin Hamed Al–Rumhi, Balozi wa Oman nchini Tanzania Mhe. Ali A. Al Mahruqi na Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Alhaj Majjid Hemed wakimsikiliza mhifadhi ya makumbusho ya mali kale ya Kaole walipotembelea eneo hilo leo.

Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo na Waziri wa Mafuta na Gesi kutoka Serikali ya Oman Dkt. Mohamed Bin Hamed Al–Rumhi wakiangalia kisima cha maji ya baraka kilichopo katika eneo la ulipojengwa msikiti wa kwanza pwani ya mashariki katika eneo la Kaole wilayani Bagamoyo wakati wa ziara yakutembelea eneo la Bandari ya Bagamoyo iliyopo Mbegani, maeneo ya uwekezaji na historia wilayani Bagamoyo leo.

Waziri wa Mafuta na Gesi kutoka Serikali ya Oman Dkt. Mohamed Bin Hamed Al–Rumhi akinywa maji toka katika kisima cha maji ya baraka kilichopo katika eneo ulipojengwa msikiti wa kwanza pwani ya mashariki katika eneo la Kaole wilayani Bagamoyo wakati wa ziara yakutembelea eneo la Bandari ya Bagamoyo iliyopo Mbegani, maeneo ya uwekezaji na historia wilayani Bagamoyo leo.

Waziri wa Mafuta na Gesi kutoka Serikali ya Oman Dkt. Mohamed Bin Hamed Al–Rumhi (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa Serikali ya Tanzania mara baada ya kutembelea eneo itakapojengwa bandari mpya wilayani Bagamoyo leo. Kushoto ni Balozi wa Oman nchini Tanzania Mhe. Ali A. Al Mahruqi, Balozi wa Tanzania nchini Oman Abdallah Kilima, Naibu Waziri wa Utalii wa Oman Bi. Maitha Saif Majid Al- Mahrouqi, Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo,Naibu Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhandisi Stellah Manyanya, Waziri wa Uwekezaji wa Oman Salem Bin Nasser Al Ismaily. (Picha zote na: Frank Shija )
Pingback: buying cialis cheap
Pingback: printable cialis coupon
Pingback: coupon for cialis
Pingback: viagra 100mg
Pingback: ed meds online
Pingback: best ed pills
Pingback: best ed pills
Pingback: buy generic cialis
Pingback: canadian pharmacy online
Pingback: cialis visa
Pingback: vardenafil coupon
Pingback: casino real money
Pingback: red dog casino
Pingback: viagra sildenafil
Pingback: slot machines
Pingback: best online casino for money
Pingback: cialis dosage
Pingback: payday loans online
Pingback: payday loans
Pingback: payday loans
Pingback: viagra pills
Pingback: real casinos online no deposit
Pingback: cialis 5 mg
Pingback: CafeCasino
Pingback: generic for cialis
Pingback: generic cialis
Pingback: legal gambling online in us
Pingback: bingo games with bonuses
Pingback: casino gambling
Pingback: play casino
Pingback: casino online slots
Pingback: viagra without doctor
Pingback: viagra online usa
Pingback: casino slot games
best drugs for ed comfortis without vet prescription legal to buy prescription drugs without prescription
Pingback: real money online casinos usa
Pingback: casino games
prescription drugs online without doctor meds online without doctor prescription buy prescription drugs from canada cheap
Pingback: irbesartan pharmacy