Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Uhusiano wa Tanzania-China Ulivyoongeza Idadi ya Wachina Kutalii Nchini

Na Immaculate Makilika- MAELEZO, Chato

Idadi ya watalii walioingia nchini imeongezeka kutoka 1,327,143 mwaka 2017 hadi kufikia watalii 1,505,702 mwaka 2018. Ongezeko hilo limechangia kuongezeka kwa mapato yatokanayo na utalii kutoka dola za Marekani bilioni 2.4 mwaka 2018 hadi kufika dola za Marekani bilioni 2.6 mwaka 2019.

Mafanikio hayo yanatokana na jitihada mbalimbali za kutangaza vivutio vya utalii kupitia maonesho ya WTM (Uingereza), ITB (Ujerumani), Conservation and Tourism Fair (Rwanda), Travel Market Top Resa (Ufaransa), Magical Kenya Travel Expo (Kenya), International Tourism Travel Expo (Kanada), China International Expo na Road show (China), Dutch Expo (Uholanzi), Outbond Travel Market – OTM na road show (India), FITUR (Hispania), Holiday Fair (Ubeligiji), na International Mediterranean Tourism Market – IMTM (Israeli) na Falme za Kiarabu

One thought on “Uhusiano wa Tanzania-China Ulivyoongeza Idadi ya Wachina Kutalii Nchini

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama