Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Uhamiaji Kuwasaka Wahamiaji Haramu Ngorongoro

Na Mwandishi Maalum, Loliondo,

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Uhamiaji, Dkt. Anna Makakala ametangaza kuanza kwa operesheni maalum ya siku kumi kusaka wahamiaji haramu katika eneo la Loliondo, Ngorongoro mkoani Arusha.

Kamishna Jenerali Makakala amebainisha hayo leo Loliondo, na kusema kuwa zoezi hilo litaenda sawia na zoezi linaloendelea la uwekaji wa alama za mipaka katika Pori Tengefu la Loliondo.

61 thoughts on “Uhamiaji Kuwasaka Wahamiaji Haramu Ngorongoro

Leave a Reply to RaneeOnPn Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama