Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Ubunifu na Uthubutu wa Rais Magufuli Waipaisha Tanzania Kimataifa

Jonas Kamaleki, Dodoma

Tangu Rais John Pombe Magufuli aingie madarakani miaka mitano iliyopita mambo makubwa na ya kuishangaza Dunia yamekuwa yakifanyika. Hivi karibuni Tanzania imefanya uchaguzi kwa kutumia fedha za ndani (Tshs. Bilioni 262) bila kuwategemea wafadhili.

Jambo hili ambalo lilionekana kama haliwezekani  kwa baadhi ya watu wenye mawazo mgando, limewezekana na kuwaacha watu vinywa wazi. Heko Rais Magufuli kwa ubunifu na uthubutu wako.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *