Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Tuzalishe kwa Wingi Bidhaa Tulizokuwa Tunaagiza Kutoka Nje – Prof. Shemdoe

Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Prof. Riziki Shemdoe wa kwanza kulia akiwa kwenye Mkutano wa Watalaam wa Mashirika ya Viwango kutoka nchi 16 za Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) uliofanyika kwa njia ya Video katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere (JNICC), Dar es Salaam, Tanzania, wa pili kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Bw.Athuman Ngenya.

Na Erick Msuya

Wazalishaji wa Bidhaa mbalimbali nchini wametakiwa  kuzalisha kwa wingi bidhaa zilizokuwa zinaagizwa kutatoka Nje ya Nchi, kutokana na kuongezeka kwa mahitaji ya bidhaa hizo kulikosababishwa na ugonjwa wa Corona, pamoja na kuitumia fursa ya uwepo wa Bandari hasa kwaajili ya kuhudumia soko la SADC.

Wito huo umetolewa Jijini Dar es Salaam na Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Prof. Riziki Shemdoe wakati akifungua Mkutano wa wataalam wa Mashirika ya Viwango kwa nchi za SADC uliofanyika kwa njia ya Video katika Kituo cha Kimataifa cha Julius Nyerere JNICC.

Prof.Shemdoe amesema kutokana na kufungwa kwa baadhi ya mipaka ya Nchi na upungufu wa upokeaji wa bidhaa kutoka Nje, wakati sasa umefika kwa wazalishaji wa ndani kutumia fursa hiyo kwaajili ya kuzalisha bidhaa kwa wingi zaidi.

“Tunatatizo la Corona nchini, na baadhi ya biashara kupitia mipakani zimepungua hivyo kusababisha kupungua kwa bidhaa kwenye nchi zinazotegemea bandari zetu, hii ni fursa kwetu hivyo tuzalishe kwa wingi kwaajili ya nchi hizo ambazo zinatuzunguka na  ambazo zinategemea bandari zetu” alisema Prof. Shemdoe

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Bw.Athuman Ngenya (kushoto), akizungumza kumkaribisha mgeni rasmi ambaye ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Prof. Riziki Shemdoe kufungua Mkutano wa Watalaam wa Mashirika ya Viwango kutoka nchi 16 za Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) uliofanyika kwa njia ya Video katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere (JNICC), Dar es Salaam, Tanzania.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Prof. Riziki Shemdoe wa kushoto akifungua Mkutano wa Watalaam wa Mashirika ya Viwango kutoka nchi 16 za Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) uliofanyika kwa njia ya Video katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere (JNICC), Dar es Salaam, Tanzania, kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Bw.Athuman Ngenya.

Aidha Prof. Shemdoe alisema lengo kuu la Serikali ya Tanzania ni kuzalisha kwa wingi Viwandani  bidhaa zenye ubora na zenye uwezo wa kushindana katika masoko ya nchi za  za SADC na Kimataifa ili kuweza kufikia malengo makuu ya kupambana kiuchumi hasa katika kipindi hiki ambacho maradhi ya Corona yameenea katika nchi mbalimbali.

Kwa upande wake Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania Dkt. Yusuph Ngenya amewataka wamiliki wa Viwanda na Wazalishaji wa bidhaa kuendelea kuzalisha bidhaa zenye Ubora na Viwango ili waweze kushindana na kununuliwa kwa wingi na nchi 16 wanachama wa jumuiya ya SADC na Afrika Mashariki kwa ujumla.

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Bw.Athuman Ngenya, akiendesha Mkutano wa Watalaam wa Mashirika ya Viwango kutoka nchi 16 za Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) uliofanyika kwa njia ya Video katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere (JNICC), Dar es Salaam, Tanzania.

Watalaam wa Shirika la Viwango kutoka Tanzania wakiwa kwenye Mkutano wa Mashirika ya Viwango wa nchi 16 za Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) uliofanyika kwa njia ya Video katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere (JNICC), Dar es Salaam, Tanzania.

“Niwaombe wenye viwanda na watengezaji wa bidhaa ndani ya nchi wajitahidi kutengeza bidhaa zenye viwango na ubora, sababu kiwango kikishapita hapa Tanzania, basi soko lote la nchi 16 za SADC bidhaa itaweza kununuliwa, hivyo ni wakati sasa wa soko kututambua ndani ya Afrika na Nje ya Afrika. Alisema  Dkt. Ngenya

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Bw.Athuman Ngenya (kulia) akiendesha Mkutano wa Watalaam wa Mashirika ya Viwango kutoka nchi 16 za Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) uliofanyika kwa njia ya Video katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere (JNICC), Dar es Salaam, Tanzania, kushoto ni Watalaam wa Shirika la Viwango kutoka Tanzania wakifuatilia mkutano huo.

Watalaam wa Shirika la Viwango kutoka Tanzania wakifuatilia kwa makini Mkutano wa Mashirika ya Viwango wa nchi 16 za Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) uliofanyika kwa njia ya Video katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere (JNICC), Dar es Salaam, Tanzania.

Shirika la Viwango Tanzania TBS ni miongoni mwa mashirika ya viwango yanayotambulika na kuheshimika kimataifa kwa weledi na utoaji wa viwango vya kimataifa hivyo bidhaa za ndani zitakazothibitishwa na Shirika hilo zitakuwa na ubora na viwango vya Kimataifa.

11 thoughts on “Tuzalishe kwa Wingi Bidhaa Tulizokuwa Tunaagiza Kutoka Nje – Prof. Shemdoe

 • August 11, 2020 at 4:56 am
  Permalink

  I blog quite often and I truly appreciate your information. Your article has truly peaked my
  interest. I’m going to book mark your site and keep checking for new information about once
  a week. I subscribed to your Feed as well.

  Reply
 • August 12, 2020 at 5:51 am
  Permalink

  What’s up, every time i used to check web site posts here early in the
  break of day, since i like to gain knowledge of more
  and more. adreamoftrains webhosting

  Reply
 • August 26, 2020 at 5:55 am
  Permalink

  Genuinely no matter if someone doesn’t know afterward its
  up to other users that they will assist, so here it happens.

  Reply
 • August 26, 2020 at 8:07 am
  Permalink

  Great website. Plenty of helpful information here. I am
  sending it to several pals ans additionally sharing
  in delicious. And certainly, thank you for
  your effort!

  Reply
 • August 27, 2020 at 4:51 am
  Permalink

  Because the admin of this web page is working, no hesitation very shortly it will be renowned,
  due to its quality contents.

  Reply
 • August 31, 2020 at 1:55 am
  Permalink

  I’ve been browsing on-line more than three hours nowadays,
  yet I by no means found any attention-grabbing article like yours.
  It is lovely worth sufficient for me. In my
  view, if all website owners and bloggers made just right content material as you probably did, the web can be a lot more helpful than ever before.

  Reply
 • March 24, 2021 at 1:09 am
  Permalink

  I do not even know how I finished up here, however I thought this submit was great.
  I do not know who you might be but definitely you’re going to a famous blogger for those who are not already.
  Cheers!

  Reply
 • March 26, 2021 at 3:11 pm
  Permalink

  My partner and I stumbled over here by a different page and thought I
  might check things out. I like what I see so now
  i’m following you. Look forward to going over your web page for a second time.

  Reply

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama