Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Tume ya Madini Yatoa Mafunzo kwa Wachimbaji Wadogo 350

Mtaalamu wa Miamba kutoka kampuni ya madini ya StamGold Gwalugano Andaalwisye akitoa ufafanuzi kuhusu madini mbalimbali yanayochimbwa katika migodi mb alimbali nchini wakati wa Maonesho ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam yanayoendelea katika viwanja vya Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.

Na Mwandishi Wetu,

Serikali kupitia Tume ya Madini imetoa mafunzo kwa wachimbaji wadogo wa madini 350 katika mikoa ya Arusha na Katavi yaliyolenga kuwajengea uwezo wa kutumia njia bora na za kisasa ili kuwawezesha kuachana na matumizi ya matumizi ya Zebaki yanayoathiri mazingira.

Akizungumza leo Alhamisi (Julai 4, 2019) katika Maonesho ya 43 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (DITF) yanayoendelea katika Viwanja vya Julius Nyerere , Mkaguzi wa Madini na Mazingira wa Tume hiyo, John  Mataro alisema Tume hiyo imekusudia kuhakikisha kuwa suala la uhifadhi na utunzaji wa mazingira linapewa na kila mchimbaji wa madini nchini.

Afisa Usalama katika eneo la migodi ya madini StamGold ) Fredy Mwakebeta akieleza namna ya kumsaidia mtu aliyepatwa na matatizo katika maeneo ya uchimbaji wa madini wakati wa Maonesho ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam yanayoendelea katika viwanja vya Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.

Mataro alisema Ofisi hiyo imekuwa ikiotoa miongozo mbalimbali kupitia sheria zilizopo kwa ajili ya kuwaelimisha wachimbaji wadogo, na kampeni hiyo itakuwa endelevu ili kuhakikisha kuwa maeneo yote yanayotumiwa na wachimbaji madini hususani wachimbaji wadogo yanazingatia maelezo hayo ili kuweza kuwa na uchimbaji endelevu na salama.

“Malengo ya Serikali ni kuhakikisha kuwa wachimbaji wetu wanaweza kupata kipato cha kutosha ili kuweza kujikwamua kiuchumi, na hili litafanyika kwa kuhakikisha kuwa tunajenga mazingira yenye usalama wa hali ya juu katkika maeneo yote ya uchimbaji yaliyopo nchini” alisema Mataro.

Mtaalamu wa Miamba kutoka kampuni ya madini ya StamGold Gwalugano Andalwisye akitoa ufafanuzi kwa wanafunzi wa shule ya msingi ya St. Maximilian iliyopo Tabata Jijini Dar es Salaam, waliofika katika Banda la Taasisi hiyo kwa ajili ya kujifunza huduma mbalimbali zinazotolewa na STAMICO wakati wa Maonesho ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam yanayoendelea katika viwanja vya Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.

Aidha Mataro aliongeza kuwa Tume hiyo kwa kutambua mchango wa wachimbaji wadogo nchini imekuwa ikiwajengea uwezo wachimbaji hao kwa kujenga mazingira wezeshi ikiwemo kupata mikopo nafuu kupitia taasisi za kifedha ikiwemo Benki, hatua inayolenga kuwapa morali na uwezo wa kumiliki vifaa bora na vya kisasa kwa ajili ya uchimbaji wa madini.

Akifafanua zaidi Mataro alisema mara kwa mara Tume hiyo imekuwa ikifanya ziara katika migodi mbalimbali iliyopo nchini yenye lengo la kuwakumbusha wachimbaji wote hususani wachimbaji wadogo kuzingatia miongozo mbalimbali ikiwemo kuwepo matangazo mbalimbali ya tahadhari katika maeneo ya uchimbaji ili kuweza kutoa taarifa kwa wahusika wanaofika katika maeneo hayo kwa mara ya kwanza.

11 thoughts on “Tume ya Madini Yatoa Mafunzo kwa Wachimbaji Wadogo 350

 • August 10, 2020 at 11:56 pm
  Permalink

  For newest information you have to visit world wide web and on internet I found this site as a most excellent web page for
  newest updates.

  Reply
 • August 12, 2020 at 5:32 am
  Permalink

  Greetings! Very useful advice within this post!
  It’s the little changes which will make the most significant changes.
  Thanks for sharing! adreamoftrains web hosting services

  Reply
 • August 25, 2020 at 9:26 am
  Permalink

  I do believe all the concepts you’ve introduced in your post.
  They are very convincing and can definitely work. Nonetheless,
  the posts are very quick for newbies. Could you please lengthen them a bit from subsequent time?
  Thank you for the post. cheap flights 3aN8IMa

  Reply
 • August 25, 2020 at 1:04 pm
  Permalink

  Howdy I am so glad I found your weblog, I really found you by mistake,
  while I was browsing on Digg for something else, Regardless I am here now and would just like to say kudos for
  a incredible post and a all round thrilling blog (I also love the theme/design), I don’t have time to look over
  it all at the minute but I have saved it
  and also added in your RSS feeds, so when I have
  time I will be back to read a lot more, Please do keep up the excellent job.
  cheap flights 3aN8IMa

  Reply
 • August 26, 2020 at 4:05 pm
  Permalink

  Thanks in support of sharing such a fastidious idea, piece of writing is
  fastidious, thats why i have read it completely

  Reply
 • August 27, 2020 at 9:46 am
  Permalink

  At this time I am going away to do my breakfast, when having my breakfast coming over again to read additional news.

  Reply
 • August 27, 2020 at 10:43 pm
  Permalink

  Normally I do not read post on blogs, however I wish to say that this write-up very compelled me to try and do so!
  Your writing style has been amazed me. Thanks, quite great article.

  Reply
 • August 28, 2020 at 4:49 pm
  Permalink

  I get pleasure from, lead to I discovered exactly
  what I was having a look for. You’ve ended my 4 day
  long hunt! God Bless you man. Have a nice day.
  Bye

  Reply
 • August 31, 2020 at 12:34 am
  Permalink

  Howdy just wanted to give you a quick heads up and let you
  know a few of the pictures aren’t loading correctly. I’m not sure why
  but I think its a linking issue. I’ve tried it in two different browsers and both show the same results.

  Reply

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama