Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

“Tume ya Haki za Binadamu Ina Jukumu Kubwa la Kulinda Haki za Wanawake na Watoto”-Balozi Seif

Makamu wa Pili wa Rais, Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi, akifafanua jambo alipokutana na kufanya mazungumzo na ugeni wa Mwenyekiti na Wajumbe wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora walipomtembelea ofisini kwake leo Juni 3, 2020 Vuga Mjini Zanzibar.

Na. Paschal Dotto-MAELEZO.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi ameitaka Tume ya Haki za Binadamu Tanzania kufanya wajibu wake wa kuwaelimisha wananchi kuhusu haki ili kuelewa haki zao pindi wanapokuwa na matatizo mbalimbali ya kijamii kwa kufanya kazi kwa karibu na Serikali na kutekeleza majukumu yake kwa lengo la kuwatumikia vyema Wananchi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.

Akizungumza ofisini kwake Vuga Mjini Zanzibar alipotembelewa na ujumbe wa Tume hiyo wakiongozwa na Mwanyekiti wake, Jaji Mstaafu Mathew Pauwa Mhina, alisema Zanzibar imekuwa na matukio mengi ya unyanyasaji wa kijinsia jambo ambalo Tume hiyo inapaswa kuwaelimisha wananchi kuhusu upatikanaji wa haki pamoja na wakuwaeleza madhara ya unyanysaji wa kijinsia, kwani kufanya hivyo kutaisaidia Serikali Kuu kupata nguvu na uwezo wa ziada wa kutatua changamoto mbali mbali zinazowakabili wananchi hususan wanawake, watoto na hata wananchi wenye mahitaji maalum.

Makamu wa Pili wa Rais, Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi, akipokea kitabu kinachohusu masuala ya haki za binadamu na utawala bora kutoka kwa Mwenyekiti na Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Jaji Mstaafu Mathew Mhina, walipomtembelea ofisini kwake leo Juni 3, 2020 Vuga Mjini Zanzibar.

“Tume ya Haki za Binadamu ina kazi kubwa katika kutekeleza majukumu yake kwa upande wa Zanzibar kutokana na migogoro na changamoto nyingi zinazowakabili wananchi hali inayosababisha mitafaruku na mifarakano miongoni mwa jamii yenyewe, kwa hiyo nyie kama tume waelimisheni wananchi wa Zanzibar kufahamu sehemu ya kupata haki zao, lakini pia nyie mna jukumu kubwa la kusaidia kutatua migogoro na mifarakano inayotokea ya wananchi kusumbuliwa katika maeneo tofauti nchini Alisema Balozi Seif .

Aidha , Balozi Seif aliueleza uongozi wa Tume ya Haki za Binadamu kwamba yapo matatizo mengi yanayowakabili wananchi hasa wanawake ya kupewa ovyo talaka na matokeo yake kutelekezwa na waume zao sambamba na kuachiwa watoto bila ya huduma hali ambayo inakuwa ni kazi kwao kutimiza majukumu ya kulea watoto.

Alitahadharisha kwamba tabia hii iliyoanza kuota mizizi kwa baadhi ya wanaume wasiojali utu wa binadamu ni ya hatari kwa mtoto kwa vile inawakosesha haki zao za msingi kama vile kupata elimu na huduma za afya kwa sababu ya kutokuwa na ushirikiano wa kimalezi baina ya pande mbili.

Makamu wa Pili wa Rais, Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi, akifanya mazungumzo na ugeni wa Mwenyekiti na Wajumbe wa Tume ya Haki za Binadamu, Walipomtembelea ofisini kwake leo Juni 3, 2020 Vuga Mjini Zanzibar, kutoka kulia ni Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji Msataafu, Mathew Mhina, Makamu Mwenyekiti, wa Tume ya Haki za Biadamu na Utawala Bora, Mohamedi Khamis Hamadi, Kamishna wa Tume ya Haki za Binadamu Zanzibar, Khatibu Mwinyi Chande na Kamishna wa Tume ya Haki za Binadamu Tanzania Bara, Bi. Amina Talib Ali.

Pia alieleza suala la udhalilishaji wa wanawake na watoto linaloikumba Dunia, hivyo watendaji na viongozi wa Tume ya Haki za Binadamu lazima wajikite zaidi kushirikiana na Taasisi za utoaji haki pamoja na wananchi katika vita ya kukabiliana na tatizo hilo linalochangia kupotoshwa kwa maadili ya jamii.

Kwa sasa masuala ya wanawake na watoto kudhalilishwa limekuwa ni jambo ambalo duniani kote ni mtihani, kwa hiyo Tume ya Haki za Binadamu jikiteni zaidi katika kufanya upembuzi wa suala hili, ili Taasisi za utoaji haki na Serikali ipate kuwasaidia wananchi kupitia nyinyi, lakini pia misisahau kutoa elimu kuhusu haki zao kwani hiyo pia itawasaidia kupambana na wahalifu na wavunjaji wa haki za Binadamu, alisema Balozi Seif.

Akijibu ombi la Tume ya Haki za Binaadamu la kupewa jengo la ofisi kwa upande wa Zanzibar, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar aliushauri ujumbe wa Tume kuwa na mpango wa kujenga majengo ya kudumu ya ofisi zake Visiwani Zanzibar kwani Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar iko tayari kutoa maeneo ya ujenzi huo wakati wowote pale itapohitajika kutekelezwa mpango huo.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi (katikakati), akiwa kwenye picha ya pamoja na ugeni wa Wajumbe wa Tume ya Haki za Bianadamu na utawala bora wakati wa ziara ya tume hiyo katika ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar leo Juni 3, 2020,

Kwa upande wake, Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu Tanzania Jaji Mstaafu Mathew Pauwa Mhina, alisema Taasisi hiyo ni chombo cha umma kilichoundwa kusimamia upatikanaji wa Haki za Binadamu ili kusimamia Utawala Bora hapa nchini na kuwawezesha wananchi kupata haki zao za msingi pale inapohitajika .

“Tume ya haki za binadamu imeundwa na viongozi wake waliteuliwa na Mhe. Rais John Pombe Magufuli ili kutetea haki za Watanzania bila kujali imani zao, kwa hiyo utekelezaji wa majukumu yake upo kwa ajili ya wananchi wanaopokonywa haki zao, lakini pale ambapo watandaji wa Tume wakienda tofauti ni masuala ya kibinadamu ya kuteleza katika Utekelezaji wa majukumu yao, hivyo Viongozi Wakuu wanapaswa kushauri pale Watendaji hao wanapoteleza katika maeneo yao ya Kazi, Jaji Mstaafu Mathew Mhina.

Aidha Tume ya Haki za Binadamu Tanzania kupitia Mwenyekiti wake iliipongeza Serikali ya Jamahuri ya Muungano wa Tanzania kwa kazi kubwa inayoifanya ya kuhudumia wananchi jambo ambalo uongozi wa Tume hiyo unaliunga mkono.

Makamishina wa Tume ya Haki za Binadamu Tanzania waliteuliwa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli mnamo Tarehe 19 Septemba Mwaka 2019, ili kuhakikisha kunakuwepo na upatikanaji wa haki kwa watanzania katika maeneno yote ya Kijamii.

12 thoughts on ““Tume ya Haki za Binadamu Ina Jukumu Kubwa la Kulinda Haki za Wanawake na Watoto”-Balozi Seif

 • October 27, 2020 at 2:34 am
  Permalink

  Needed to put you the very small observation just to give thanks yet again for the splendid guidelines you’ve contributed in this case. It was strangely open-handed of people like you to supply publicly exactly what a number of us would have marketed as an e-book to help make some profit for themselves, certainly given that you could possibly have done it if you considered necessary. The tips likewise acted as a easy way to be certain that the rest have the identical eagerness the same as my very own to figure out a good deal more on the topic of this problem. I think there are lots of more pleasant instances up front for many who find out your blog.

  Reply
 • October 27, 2020 at 2:35 am
  Permalink

  I just wanted to write a simple message to express gratitude to you for the fantastic guidelines you are sharing on this site. My incredibly long internet look up has at the end of the day been recognized with incredibly good ideas to exchange with my close friends. I ‘d mention that most of us visitors are very endowed to live in a useful site with so many perfect professionals with very helpful hints. I feel pretty grateful to have come across the website and look forward to many more enjoyable times reading here. Thanks a lot once more for everything.

  Reply
 • November 8, 2020 at 11:06 pm
  Permalink

  I simply desired to appreciate you once again. I do not know the things that I could possibly have taken care of without these smart ideas discussed by you concerning such a industry. It had become the traumatic situation in my view, however , noticing this specialised avenue you handled it forced me to jump with contentment. Now i am happier for this support and even expect you comprehend what a great job you are providing educating most people thru your webpage. I am sure you’ve never got to know all of us.

  Reply
 • January 5, 2021 at 8:07 pm
  Permalink

  I am just commenting to make you know what a helpful discovery my wife’s daughter encountered visiting your site. She realized a wide variety of details, which include what it’s like to have a wonderful giving character to get most people without difficulty comprehend some problematic subject matter. You actually did more than my expectations. Thanks for delivering the good, trustworthy, edifying as well as cool thoughts on this topic to Lizeth.

  Reply
 • January 8, 2021 at 1:25 am
  Permalink

  Thanks so much for giving everyone such a nice opportunity to read in detail from this site. It really is very superb plus full of fun for me and my office colleagues to visit the blog minimum three times every week to learn the newest guides you will have. And of course, I’m also certainly amazed with your very good strategies you give. Selected 1 tips in this article are undoubtedly the most impressive we’ve ever had.

  Reply
 • January 10, 2021 at 4:21 am
  Permalink

  I precisely had to thank you very much once again. I’m not certain what I would’ve taken care of without the opinions contributed by you about my subject matter. It was actually a alarming difficulty for me, nevertheless being able to see your skilled avenue you dealt with it forced me to leap for happiness. I’m just thankful for your support and thus believe you really know what a great job you are always providing training people all through your websites. Most probably you’ve never come across any of us.

  Reply
 • January 11, 2021 at 2:18 am
  Permalink

  I would like to point out my respect for your kindness giving support to women who really need help on this one content. Your very own commitment to getting the solution throughout had become exceedingly functional and have surely empowered ladies much like me to get to their objectives. Your own informative report entails much to me and additionally to my fellow workers. With thanks; from everyone of us.

  Reply
 • January 11, 2021 at 9:49 am
  Permalink

  I am commenting to make you understand what a remarkable discovery my daughter obtained reading through your webblog. She came to find lots of details, which include what it’s like to have an amazing helping mood to make many people without difficulty understand chosen very confusing matters. You truly did more than people’s expectations. Thanks for presenting such priceless, trustworthy, edifying not to mention fun tips on that topic to Janet.

  Reply
 • January 11, 2021 at 11:24 pm
  Permalink

  I and my buddies appeared to be following the great thoughts located on the blog while at once got an awful feeling I had not expressed respect to the site owner for them. These ladies were definitely totally very interested to read through them and now have in fact been loving those things. I appreciate you for being very thoughtful and for settling on such helpful useful guides millions of individuals are really desperate to understand about. My very own honest regret for not expressing gratitude to you sooner.

  Reply
 • January 12, 2021 at 6:25 am
  Permalink

  A lot of thanks for all your efforts on this web page. My mum enjoys participating in research and it is obvious why. All of us hear all relating to the compelling manner you render functional information by means of your web site and as well invigorate participation from some others on this concept then our own girl is certainly understanding a whole lot. Have fun with the rest of the new year. You’re doing a fabulous job.

  Reply
 • January 13, 2021 at 4:30 pm
  Permalink

  I needed to draft you the little observation to say thanks a lot over again for all the extraordinary strategies you’ve contributed here. It is so wonderfully generous with people like you giving extensively just what a number of us might have supplied for an electronic book to generate some cash for their own end, certainly seeing that you could possibly have done it if you considered necessary. Those solutions additionally served as a good way to fully grasp that other people online have similar keenness just as my personal own to see whole lot more pertaining to this issue. I am certain there are lots of more fun situations in the future for individuals who look into your blog.

  Reply

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *