Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

TIC Yawafunda Wabunge Kamati za Uwekezaji, Katiba na Sheria Jijini Dodoma

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu –Uwekezaji, Mhe. Angellah Kairuki akizungumza wakati wa semina ya kuwajengea uwezo wajumbe wa Kamati za Kudumu za Bunge za Uwekezaji na Katiba na Sheria iliyofanyika katika ukumbi wa Msekwa Bunge jijini Dodoma leo tarehe 07/11/2019. Semina hiyo imeandaliwa na Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kwa lengo la kuwajengea uelewa kuhusu masuala ya uwekezaji nchini.

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji, Dkt. Raphael Chegeni akichangia mada wakati wa semina ya kuwajengea uwezo wajumbe wa Kamati za Kudumu za Bunge za Uwekezaji na Katiba na Sheria iliyofanyika katika ukumbi wa Msekwa Bunge jijini Dodoma leo tarehe 07/11/2019. Semina hiyo imeandaliwa na Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kwa lengo la kuwajengea uelewa kuhusu masuala ya uwekezaji nchini. Kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu –Uwekezaji, Mhe. Angellah Kairuki na kulia ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria, Mhe. Najma Giga.

Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Prof. Longinus Rutasira akitoa maelezo wakati wa semina ya kuwajengea uwezo wajumbe wa Kamati za Kudumu za Bunge za Uwekezaji na Katiba na Sheria iliyofanyika katika ukumbi wa Msekwa Bunge jijini Dodoma leo tarehe 07/11/2019. Semina hiyo imeandaliwa na Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kwa lengo la kuwajengea uelewa kuhusu masuala ya uwekezaji nchini.

Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Bw. Geofrey Mwambe akiwasilisha mada wakati wa semina ya kuwajengea uwezo wajumbe wa Kamati za Kudumu za Bunge za Uwekezaji na Katiba na Sheria iliyofanyika katika ukumbi wa Msekwa Bunge jijini Dodoma leo tarehe 07/11/2019. Semina hiyo imeandaliwa na Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kwa lengo la kuwajengea uelewa kuhusu masuala ya uwekezaji nchini.

Baadhi ya Wabunge wakifuatilia mada wakati wa semina ya kuwajengea uwezo wajumbe wa Kamati za Kudumu za Bunge za Uwekezaji, na Katiba na Sheria iliyofanyika katika ukumbi wa Msekwa Bunge jijini Dodoma leo tarehe 07/11/2019. Semina hiyo imeandaliwa na Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kwa lengo la kuwajengea uelewa kuhusu masuala ya uwekezaji nchini. (Picha na Idara ya Habari –MAELEZO)

152 thoughts on “TIC Yawafunda Wabunge Kamati za Uwekezaji, Katiba na Sheria Jijini Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama