Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

TCC yawashirikisha Walimu kuandaa Kitabu

Katibu wa Tume ya Utumishi wa Walimu, Bibi Winifrida Rutaindurwa akiongea na Walimu (hawapo pichani) walioshiriki katika kikao kazi cha kuandaa kitabu cha Maadili na Miiko ya kazi ya ualimu. Kikao hicho kilifanyika Mwishoni mwa wiki mjini Morogoro chini ya ufadhili wa EQUIP – Tanzania.

Mwakilishi wa EQUIP – Tanzania, Bw. Erick Kilala akiongea na washiriki wa kikao kazi cha kuandaa kitabu cha maadili na miiko ya kazi ya ualimu kilichofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Flomi mjini Morogoro.

Mmoja wa Walimu walioshiriki kikao kazi akitoa dondoo za madhui yanayohitajika katika kitabu cha maadili na miiko ya kazi ya ualimu.

17 thoughts on “TCC yawashirikisha Walimu kuandaa Kitabu

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *