Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

TCAA Kuboresha Miundombinu Uongozaji Ndege

Mkuu wa Kitengo cha Uendeshaji Ndege Bw. Tuju Sharali akitoa maelezo kwa waandishi wa habari katika chumba maalumu kinachotumika kurusha na kutua ndege mbalimbali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA),leo jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya wafanyakazi wa kituo cha juu cha kuongozea ndege wakiwa katika kazi ya mawasiliano kutoka vituo vingine vya kimataifa ili kuwezesha kuruka na kutua kwa ndege za abiria katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA),leo jijini Dar es Salaam wakati wa kutembelea kituo hicho ili kujionea vifaa hivyo ambavyo vitabadilishwa na kuingia katika mfumo mpya wa uongozaji ndege .

Chumba na vifaa vya kuongozea ndege kuanzia umbali wa futi 24000 kwenda juu kinachotumika katika kuongozea ndege zikiwa juu zaidi, kurusha pamoja na kuziendesha wakati wa kutua katika idara ya uendeshaji na huduma za ndege(TCAA) Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA),leo jijini Dar es Salaam.

Rada inayotumika kwa sasa katika kuongoza ndege katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) kama inavyoonekana katika picha.

Mkuu wa Kitengo cha Mawasilisno ya Uendeshaji Ndege wa (TCAA) Bw.Deodore Mushi akitoa maelezo kwa waandishi wa habari kuhusu ufanyaji kazi wa mitambo ya kuongozea ndege katika kituo cha kuongoza ndege cha Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA),leo jijini Dar es Salaam. (Picha na: Paschal Dotto)

170 thoughts on “TCAA Kuboresha Miundombinu Uongozaji Ndege

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama