Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

TBS Yatoa Leseni 79 kwa Wajasiriamali Katika Hafla Fupi Jijini Dar

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania Dkt.Athuman Yusuf Ngenya akitembelea bidhaa zilizothibitishwa ubora na kupata leseni mapema jana wakati wa hafla ya utoaji leseni, Jana Jijini Dar es Salaam

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania Dkt.Athuman Yusuf Ngenya akitembelea bidhaa zilizothibitishwa ubora na kupata leseni mapema jana wakati wa hafla ya utoaji leseni. Jana Jijini Dar es Salaam

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania Dkt.Athuman Yusuf Ngenya akitoa leseni kwa mmoja ya Wafanyabishara,Jana Jijini Dar es Salaam

8 thoughts on “TBS Yatoa Leseni 79 kwa Wajasiriamali Katika Hafla Fupi Jijini Dar

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev e┼čyas─▒ depolama