
Kaimu Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Takwimu za Jamii kutoka Ofisi ya Takwimu ya Taifa(NBS), Bi.Ruth Minja, akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu hali ya Mfumuko wa Bei kwa Mwaka ulioishia Februari 2020, Mkutano ulifanyika Ofisi za Takwimu Jijini Dar es Salaam.
Na.Mwandishi Wetu-MAELEZO
Serikali kupitia Ofisi ya Taifa ya Takwimu imesema kuwa mfumuko wa bei wa taifa umezidi kuimarika kwa mwaka ulioishia mwezi Februari, 2020 baada ya kubaki palepale kwenye asilimia 3.7 kama ilivyokuwa kwa mwaka ulioshia Januari 2020.
Akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Dar es Salaam, Kaimu Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Takwimu za Jamii, Bi.Ruth Minja alisema kuwa kasi ya mabadiliko ya bei za bidhaa na huduma kwa mwaka ulioushia mwezi Februari, 2020 imebaki kuwa sawa na kasi ya iliyokuwepo mwezi Januari, 2020.
“Hali hii ya mfumuko wa bei kubaki kuwa sawa kama ilivyokuwa mwezi Januari imechangiwa na kuongezeka na kupungua kwa bei za baadhi ya bidhaa za vyakula na bidhaa zisizo za vyakula kwa kipindi kilichoishia Februari 2020”, alisema Bi. Ruth Minja.

Kaimu Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Takwimu za Jamii kutoka Ofisi ya Takwimu ya Taifa(NBS), Bi.Ruth Minja, akifafanua jambo kwa Waandishi wa Habari (hawapo pichani), kuhusu hali ya Mfumuko wa Bei kwa Mwaka ulioishia Februari 2020, Mkutano ulifanyika Ofisi za Takwimu Jijini Dar es Salaam.
Aidha ameongeza kuwa kuna baadhi ya bidhaa za vyakula kama nyama ambayo iliongezeka kwa asilimia 1.6, samaki 6.1, mafuta ya kupikia 2.8, maharage 9.3 na viazi vitamu 4.2. Ongezeko la bei ambalo limekuwepo kwa Februari 2020 ni sawa na ongezeko hilo Februari 2019
Kwa upande wa bidhaa zisizo za vyakula zilipungua bei kwa mwezi Februari, 2020 zikilinganishwa na bei za mwezi Februari, 2019 kama vile jiko la gesi ya kupikia lilipungua kwa asilimia 1.6, viatu vya watoto asilimia 1.0, mafuta ya nywele za wanawake asilimia 2.5 na gharama za huduma za starehe asilimia 1.0.
Minja alibainisha kuwa mfumuko wa bei wa bidhaa za vyakula na vinywaji baridi kwa mwaka ulioisha mwezi Februari, 2020 umeongezeka hadi asilimia 5.9 kutoka asilimia 5.7 kwa mwaka ulioishia Januari 2020.
Aliitaja Tanzania katika Nchi za Afrika Mashariki kuwa imeendelea kuwa vizuri kwenye mfumuko wa bei kwa asilimia 3.7 ikilinganishwa na Kenya asilimia 6.37 kutoka asilimia 5.78, wakati Uganda mfumuko wa bei umebakia pale pale 3.4 kwa mwaka ulioishia Januari 2020.
Pingback: generic cialis online
Pingback: Overnight delivery viagra
Pingback: cialis without a prescription
Pingback: when will cialis be over the counter
Pingback: cialis prices
Pingback: online pharmacy viagra
Pingback: viagra generic
Pingback: gnc ed pills
Pingback: medicine erectile dysfunction
Pingback: top rated ed pills
Pingback: buy cialis online
Pingback: canadian online pharmacy
Pingback: Buy cialis online
Pingback: vardenafil pill
Pingback: levitra online
Pingback: cheap levitra
Pingback: online casinos real money
Pingback: buying viagra online
Pingback: slot games online
Pingback: casino online slots
Pingback: short term loans
Pingback: personal loan
Pingback: best real money online casinos
Pingback: online loans
Pingback: generic cialis
Pingback: casino online slots
Pingback: virtual casino codes
Pingback: online casino south africa sign up bonus
Pingback: cialis generic
Pingback: generic for cialis
Pingback: Planet7
If some one wishes expert view concerning blogging afterward i advise him/her to visit this weblog, Keep up the good work.
Very shortly this website will be famous amid all blogging people, due to it’s fastidious articles
Stunning story there. What occurred after? Good luck! 34pIoq5 cheap flights
Pingback: buy generic viagra
you’re really a excellent webmaster. The site loading pace is incredible.
It kind of feels that you’re doing any unique trick. In addition, The contents are masterpiece.
you’ve performed a excellent job in this subject!
Pingback: tadalafil generic
s46r6O Maybe You Also Make All of these Mistakes With bag ?
I wanted to thank you for this fantastic article, I definitely loved every small bit of it. I have bookmarked your internet site to look at the newest stuff you post.
I really liked your article post.Much thanks again. Want more. anal creampie
Your style is really unique in comparison to other folks I ave read stuff from. Thank you for posting when you have the opportunity, Guess I all just book mark this blog.
You have made some decent points there. I checked on the web to find out more about the issue and found most individuals will go along with your views on this site.
Time period may be the a lot of special tool to, so might be the organic options. Internet looking is definitely simplest way to preserve moment.
I truly appreciate this article post.Really thank you! Much obliged.
My spouse and I stumbled over here from a different page and thought I might as well check things out. I like what I see so i am just following you. Look forward to going over your web page again.
Wow, marvelous weblog structure! How lengthy have you ever been blogging for? you made running a blog glance easy. The whole look of your website is magnificent, let alone the content!
Very good info. Lucky me I ran across your blog by accident (stumbleupon). I have saved as a favorite for later!
Wow, wonderful blog layout! How long have you been blogging for? you made blogging look easy. The overall look of your web site is great, as well as the content!
This very blog is definitely interesting and diverting. I have picked a lot of interesting advices out of it. I ad love to return over and over again. Cheers!
You completed a few fine points there. I did a search on the subject and found the majority of people will agree with your blog.
Wow, this paragraph is nice, my younger sister is analyzing such things, so I am going to let know her.