
Rais wa Taasisi ya Tanzania Health Summit, Dkt. Omary Chillo (katikati) akifafanua jambo kwa Waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu kongamano la nne la kitaifa la afya, kushoto ni Katibu wa chama hicho Dkt. Rebeca John na kulia ni Afisa Tawala wa Chama cha Watoa Huduma za Afya Binafsi, Bw. Joseph Mhagama.
Na Jacquiline Mrisho.
Taasisi ya Tanzania Health Summit imeandaa Kongamano la Afya kwa ajili ya kujadili changamoto mbalimbali zinazoikumba sekta hiyo na kutoa mapendekezo ya utatuzi wa changamoto hizo.
Hayo yamesemwa leo Jijini Dar es Salaam na Rais wa Taasisi hiyo, Dkt. Omari Chillo wakati akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu maandalizi ya kongamano hilo.
Dkt. Chillo amesema kuwa maandalizi ya Kongamano hilo yanaendelea vizuri hivyo mnamo Novemba 14-15 mwaka huu wanategemea kufanya Kongamano katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (JNICC).

Afisa Tawala wa Chama cha Watoa Huduma za Afya Binafsi, Bw. Joseph Mhagama akifafanua jambo kwa Waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu kongamano la nne la kitaifa la afya, katikati ni Rais wa chama hicho Dkt. Omary Chillo na kushoto ni Katibu wa chama hicho Dkt. Rebeca John.
“Lengo kuu hasa la mkutano huu ni kuchangia juhudi za Serikali katika kuboresha afya kwa kujadiliana changamoto zinazokabili sekta ya afya na kuishia na mapendekezo yanayoonyesha suluhisho la majadiliano hayo ambayo huandikwa kwenye kitabu na kusambazwa kwa taasisi husika za afya na kufuatilia utekelezaji wa yaliyoandikwa kwa taasisisi hizo,” alisema Dkt. Chillo.
Ameongeza kuwa, Kongamano la mwaka huu litahusisha vipengele mbalimbali vikiwemo vikao vitakavyogusa mada kama maendeleo ya huduma za afya, hotuba kutoka kwa wataalamu wazoefu wa afya, kuwasilisha matokeo ya uchunguzi na majadiliano katika vikundi.
Vile vile kutakuwa na maonesho ya huduma na bidhaa kutoka kwa wasambazaji wa huduma za afya na mashirika ya umma na binafsi.
Dkt. Chillo amefafanua kuwa katika siku mbili hizo za mkutano wanatarajia kupata wadau wa afya takribani 500 kutoka ndani na nje ya nchi wakiwemo manesi, madaktari, wafamasia, watunga sera, watafiti wa magonjwa ya afya, wachumi, wasambazaji wa vifaa tiba na dawa, wawekezaji katika sekta ya afya pamoja na wadau wote wa maendeleo ya afya.

Katibu wa Taasisi ya Tanzania Health Summit, Dkt. Rebeca John (kushoto) akisisitiza jambo kwa Waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu kongamano la nne la kitaifa la afya, katikati ni Rais wa Taasisi hiyo, Dkt. Omary Chillo na kulia ni Afisa Tawala wa Chama cha Watoa Huduma za Afya Binafsi, Bw. Joseph Mhagama.Picha na Eliphace Marwa.
Kwa upande wake Katibu wa Taasisi hiyo, Dkt. Rebeka John amesema kuwa Kongamano hilo linatoa fursa chache za udhamini na maonyesho hivyo wanaohitaji kushiriki wanatakiwa kujaza fomu ya maombi inayoweza kupakuliwa kupitia tovuti ya www.ths.or.tz., kutuma barua pepe kwenda info@ths.or.tz, au kwa namba ya simu +2555 684 244 377.
“Ningependa kutoa wito kwa wadau wa afya kutoka serikalini na mashirika binafsi, mahospitali, asasi zisizo za kiserikali, taasisi za kitaaluma, watengenezaji wa bidhaa za afya, wasambazaji, wawekezaji na washirika wa maendeleo kushiriki kikamilifu katika mkutano wa mwaka huu,” alisema Dkt Rebeka.
Pia, amewashukuru wadhamini wao wakuu wa kongamano hilo wakiwemo Tindwa Medical And Health Services, Chuo cha Mtakatifu Joseph, Gazeti la The Guardian, Chuo cha Afya Muhimbili, Blogu ya Issa Michuzi na Medico Press.
Huu ni Mkutano wa nne kufanyika nchini ukiwa na kauli mbiu inayosema “Ni jinsi gani tunaweza kufikia malengo ya kuimarisha upatikanaji wa afya bora kwa kuunganisha tafiti za kisayansi, ubunifu na sera za afya”.
Pingback: generic cialis
Pingback: buy generic cialis
Pingback: Canadian pharmacy viagra
Pingback: non prescription ed pills
Pingback: best erectile dysfunction pills
Pingback: over the counter erectile dysfunction pills
Pingback: cialis 10mg
Pingback: canadian pharmacy online
Pingback: Cialis in usa
Pingback: levitra for sale
Pingback: vardenafil coupon
Pingback: online casinos usa
Pingback: slot games
Pingback: viagra for women
Pingback: real money casino
Pingback: buy cialis pills
Pingback: online loans
Pingback: quick cash loans
Pingback: cash payday
Pingback: viagra 100mg
Pingback: cialis to buy
Pingback: online casino us players accepted
Pingback: virgin casino online nj
Pingback: new cialis
Pingback: bingo with real money online
Pingback: online casino usa real money
Pingback: gambling casino
Pingback: viagra online generic
Pingback: tadalafil cost
lm360.us http://lm360.us/
purchase viagra online http://viagraeiu.com/
hydroxychloroquine tablet 400mg https://www.herpessymptomsinmen.org/where-to-buy-hydroxychloroquine/
Pingback: Viagra 50mg online
It’s awesome to go to see this site and
reading the views of all friends about this paragraph, while
I am also zealous of getting familiarity. http://grassfed.us/
Pingback: how to purchase Cialis 40 mg
Pingback: where can i buy lasix 40 mg
Ahaa, its pleasant conversation concerning this piece
of writing here at this website, I have read all that, so at this time
me also commenting here. http://cleckleyfloors.com/
keflex.webbfenix.com https://keflex.webbfenix.com/
where can i buy viagra over the counter viagra canada viagra
generic viagra pic
buying viagra ireland
is 100mg viagra is too much Situg Kig
Pingback: online casinos real money
buy prescription drugs online legal to buy prescription drugs without prescription is it illegal to buy prescription drugs online
rhinocort cheap
pill cutter for viagra
acheter viagra veritable Situg Kig
generic cialis ervaringen
viagra instructions for use
viagra prices cvs walgreens costco Situg Kig
pharmacy coupons ed drugs online drug store
best drugstore eyeliner longs drug store canada pharmacy
medical pharmacy on line pharmacy pharmacy
Pingback: how to purchase buspirone 5 mg