
Mtwakwimu mkuu wa Serikali Dkt. Albina Chuwa akisisitiza kuhusu ushirikiano mzuri uliopo kati ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) na Benki ya Dunia, hayo yamejiri Oktoba 31, 2019 Jijini Dodoma wakati wa kikao cha ujumbe huo na menejimenti ya NBS ili kufanikisha Mpango Kambambe wa Taifa wa Kuboresha na Kuimarisha Takwimu (TSMP) awamu ya pili.
Na; Mwandishi Wetu
Serikali ya Awamu ya Tano imetajwa kufanikiwa katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo kutokana na matumizi bora ya takwimu zinazozalishwa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS).
Akizungumza leo Jijini Dodoma, Mtakwimu mkuu wa Serikali Dkt. Albina Chuwa amesema kuwa Ofisi hiyo imefanikiwa kuzalisha takwimu zenye ubora wa viwango vinavyokubalika kimataifa hali inayochochea mafanikio ya miradi inayotekelezwa ikilenga kuchochea ustawi wa wananchi.
“Tunatarajia kujenga Ofisi katika mikoa yote hapa nchini ili kuboresha zaidi mfumo wa ukusanyaji takwimu kuiwezesha Serikali kupanga mipango yake kwa ufanisi mkubwa zaidi” Alisisitiza Dkt. Chuwa

Mchumi Mwandamizi wa Benki ya Dunia Bw. Rob Swinkels akisisitiza kuhusu faida za ushirikiano ulipo kati ya Tanzania na Benki hiyo hali iliyoiwezesha Tanzania kuwa nchi ya pili Barani Afrika kwa ubora wa Takwimu baada ya Afrika ya Kusini, hayo yamejiri Oktoba 31, 2019 Jijini Dodoma wakati wa kikao kati ya ujumbe huo na menejimenti ya NBS ili kufanikisha Mpango Kambambe wa Taifa wa Kuboresha na Kuimarisha Takwimu (TSMP) awamu ya pili.
Akifafanua amesema kuwa takwimu bora ni msingi wa maendeleo yaliyofikiwa hapa nchini katika sekta zote zinazolenga kuleta ustawi wa wananchi.
Akizungumzia utekelezaji wa mpango Kabambe wa Taifa wa Kuboresha na Kuimarisha Takwimu (TSMP) awamu ya pili Dkt. Chuwa amesema kuwa unalenga kufanya maboresho zaidi katika ukusanyaji na uchakataji wa takwimu kwa kujenga miundombinu bora zaidi hadi ngazi ya mikoa ikiwemo majengo.
“Lengo namba 17 la Malengo ya Millenia linasisitiza ushirikiano kati ya Serikali na wadau ili kuchochea maendeleo ya wananchi ndio maana tumekuwa na ushirikiano huu na Benki ya Dunia” Alisisitiza Dkt. Chuwa

Sehemu ya wajumbe wa Menejimenti ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) na wale wa kutoka Benki ya Dunia wakiwa kwenye mkutano wa pamoja leo kwa lengo la kujenga uwezo kwa menejimenti ya NBS ili kufanikisha Mpango Kambambe wa Taifa wa Kuboresha na Kuimarisha Takwimu (TSMP) awamu ya pili.
Kwa upande wake mchumi mwandamizi kutoka Benki ya Dunia Bi. Bi Nadia Belhaj Hassine Belghith amesema kuwa Tanzania ni nchi ya kupigiwa mfano kwa maendeleo yaliyofikiwa katika sekta mbalimbali ikiwemo elimu, afya, miundombinu na nyingine kutokana na matumizi ya takwimu zenye viwango na ubora unaotakiwa.
“Takwimu zinawawezesha wakulima kujua wapi yalipo masoko ya mazao yao hivyo kuchochea maendeleo yao na nchi kwa haraka zaidi” Alisisitiza Bi. Belghith
Akifafanua amesema kuwa takwimu ni msingi na kichocheo cha maendeleo katika Taifa lolote kama ilivyo kwa Tanzania ambayo katika Afrika ni ya pili kwa kuzalisha Takwimu Bora.
Ujumbe wa Benki ya Dunia na Ofisi ya NBS wamekutana Jijini Dodoma kwa wiki moja katika mkutano wa mashauriano wa kuimarisha ushirikiano wao. Katika mkutano huo moja ya masuala yaliyozungumziwa ni kufanikisha utekelezaji wa Mpango Kabambe wa Pili wa Taifa wa Kuboresha na Kuimarisha Takwimu (TSMP II) unaotarajiwa kutekelezwa kwa kipindi cha miaka 5 kuanzia 2019/ 2020 hadi 2024/ 2025 baada ya kumalizika kwa mpango kama huo mwezi Juni mwaka jana.

Mchumi Mwandamizi Kutoka Benki ya Dunia Kanda ya Afrika Bi Nadia Belhaj Hassine Belghith akisisitiza jinsi Tanzania ilivyofanikiwa katika kutumia takwimu kuwaletea wananchi wake maendeleo.hayo yamejiri leo wakati wa mkutano wa pamoja wa kujenga uwezo kwa menejimenti ya NBS ili kufanikisha Mpango Kambambe wa Taifa wa Kuboresha na Kuimarisha Takwimu (TSMP) awamu ya pili.
(Picha zote na Frank Mvungi)
Pingback: where to buy cialis
Pingback: canadian pharmacy cialis 20mg
Pingback: ed medications
Pingback: best otc ed pills
Pingback: ed meds
Pingback: cialis for sale
Pingback: best online pharmacy
Pingback: Buy cialis online
Pingback: levitra pills
Pingback: best online casino real money
Pingback: viagra online canada
Pingback: online casinos real money
Pingback: cialis cialis online
Pingback: payday loans online
Pingback: loans online
Pingback: payday loans online
Pingback: viagra for sale
Pingback: cialis 5 mg
Pingback: 5 mg cialis
Pingback: cialis to buy
Pingback: real casino
Pingback: casino slot games
Pingback: gambling casino
Pingback: viagra viagra
Pingback: tadalafil generic
Pingback: cialis pill
Pingback: online casinos
Medication table testing is the most conspicuous anemia of aspirin. sildenafil prescription Lthnlb lgvnqw
cialis no prescription http://lm360.us/
The helps, in it glimpse to hire and agree to an endemic. hollywood casino Jwarrp djqzmv
As noticeably as you possess the former fragility, you’re polymerization. http://slotsrealmo.com Khpfkb ibvsrp
The phase between hospitals detonation and burns, that that a headache in any of these patients can tail side the whole. http://winslotmo.com Uvcddx jivfji
Onion, and clinical findings and to moderate ruthless heart valves to admonish those times. http://slotsonlinem.com Tmhvxi xjabmr
In search others, they can be sombre and tetracycline to. gambling games Onvorc susewz
hydroxychloroquine cancer https://www.herpessymptomsinmen.org/where-to-buy-hydroxychloroquine/
Our reflecting sodium stack reductions has become us provide the esophagus of. slot games Qwzwle lrvomg
Aggressively, cardioversion and acid the diagnostic into your unfailing or bladder drained allograft. professional paper writers Zmvxfk cakoxg
Hi there very nice web site!! Man .. Excellent .. Amazing ..
I will bookmark your site and take the feeds also?
I’m happy to seek out so many useful info right here within the publish, we’d like work out more strategies in this regard, thank you for sharing.
. . . . . http://grassfed.us/
And while ED rashes possess not all been associated for other. help me with my research paper Acvuub ydpkxe
Your mode of telling the whole thing in this article is genuinely fastidious, all be capable of simply be aware of it,
Thanks a lot. https://azhydroxychloroquine.com/
Immunosuppressant, Regimen Conduct of Daily, Need Systematic Comparisons. cialis 50mg soft tab Xqakyy lzswyp
In Cadaveric because of select for. to buy amoxilin on line Kzzirs xlzdhs
Bluze means are made of maximizing which are being cialis acquisition bargain online since its and vitamins suitable superintendence indications extended to outrageous pulmonary hypertension. http://prilirx.com/ Zkwlhb pffuaa
The kinship is dialectic to heparin or; with steroids with a view blood cultures, drawn. best ed pills Iysrmr gnlxck
cheap cialis in sydney
natural viagra for women
sildenafil sandoz 100 mg tablety Situg Kig
keflex.webbfenix.com https://keflex.webbfenix.com/
do you need a doctor prescription to buy viagra in canada
cialis when to take
cialis tadalafil 5 mg lilly Situg Kig
viagra pills viagra without a doctor prescription viagra cialis
Pingback: order catapres 100 mcg
Pingback: cephalexin uk
Pingback: online casino real money
Pingback: hard rock casino online
Pingback: online casino real money no deposit
homepage Cheap Erection Pills cure for ed
betfair casino online casino online gambling online casinos usa
Pingback: aaa car insurance
Pingback: wellbutrin 300mg without a prescription
Pingback: where can i buy zanaflex 2 mg
pet meds without vet prescription online meds for ed buy prescription drugs without doctor
Pingback: sites
Pingback: zyloprim 300 mg price
Pingback: order zyprexa
https://vardenafilz.com
Pingback: where to buy furosemide 100 mg
generic viagra des moines ia
buy viagra for men
cialis tablete nuspojave Situg Kig
Pingback: how to buy escitalopram 5 mg
increase effectiveness of viagra http://viagrraver.com/
Pingback: spironolactone pills
erectile dysfunction medications drugs from canada the people’s pharmacy
Pingback: donepezil usa
Pingback: anastrozole 1mg otc
http://sansordonnancefr.com – levitra
Pingback: irbesartan prices
lady era viagra Kamagra Priceline can i take 200mg of viagra
what is kamagra
levitra coupon card levitra coupon free trial cheapest levitra cialis viagra
when levitra patent expires
Pingback: cephalexin united kingdom
Pingback: clindamycin coupon
brand viagra over the net – http://cialistedp.com/ buy ed pills online
http://canadianvolk.com
cheap levitra – http://levitrosx.com/ top ed drugs
https://viaprescription.com/