Serikali ya Sudan Kusini imeoimba Tanzania kuisaidia katika utoaji wa mafunzo mbalimbali kwa wataalamu wake hasa wa sekta ya afya, kilimo na kupatiwa walimu wa lugha la Kiswahili kwa sababu taifa hilo linataka kuanza kufundisha lugha hiyo kwenye shule mbalimbali nchini humo.
Makamu wa Kwanza Rais wa Serikali ya Sudan Kusini Jenerali Taban Deng Gai ametoa maombi hao baada ya kukutana na kufanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan kando mwa Mkutano 29 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika Jijini Addis Ababa Ethiopia.
Jenerali Taban Deng ameishukuru Serikali ya Tanzania kwa kuendelea kuiunga mkono Serikali ya Sudan Kusini kupitia Jumuiya mbalimbali hususan Jumuiya ya Afrika Mashariki katika juhudi zake za kutafuta amani ya kudumu pamoja na kuwavumilia kadri inavyowezekana hasa wanapopitia changamoto mbalimbali kufikia amani hiyo.
Makamu huyo wa Kwanza Rais wa Serikali ya Sudan Kusini amemweleza Makamu wa Rais kuwa Serikali ya Tanzania ni mdau muhimu wa maendeleo kwa taifa hilo changa barani Afrika hivyo kuna umuhimu mkubwa kwa Serikali ya Tanzania kuendelea kulisaidia taifa hiyo ili liweze kuimarisha hali ya ulinzi na usalama pamoja na uimarishaji wa utoaji wa huduma za msingi kwa wananchi wake.
Kwa upande wake, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan ameihakikishia Serikali ya Sudani kuwa Tanzania itakuwa mstari wa mbele katika kuhakikisha wananchi wanapata huduma bora za kijamii ikiwemo juhudi za uimarishaji wa hali ya ulinzi na usalama katika taifa hilo.
Makamu wa Rais amesema ili Tanzania iweze kushirikiana vizuri na Serikali ya Sudan Kusini ni muhimu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushikiriano wa Kimataifa za nchi hizo Mbili kuandaa mfumo maalum wa ushirikiano na utekelezaji wake ambao utaanisha maeneo ya kushirikiana katika sekta mbalimbali kutokana na taifa hilo changa barani afrika kuwa na changamoto nyingi hasa kwenye sekta za afya, elimu, kilimo, siasa, ulinzi na usalama.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan katika mazungumzo hayo ameziomba Wizara za Mambo ya Nje za nchi zote Mbili kuandaa mpango huo haraka kwa ajili ya manufaa ya wananchi wa pande hizo Mbili.
Makamu wa Rais pia ameonyesha kuguswa sana na tatizo na vifo vinavyatokana na uzazi na ameshauri Serikali ya Sudan Kusini, pamoja na changamoto zao za kiuchumi ijaribu kuboresha kadri itakavyoweza, miundombinu ya barabara, magari ya kusafirisha wangonjwa kwa haraka, vifaa tiba na kuimarisha vyumba vya dharura vya uzazi ili kukabiliana na tatizo hilo.
Kuhusu tatizo la uhaba wa chakula, Makamu wa Rais aliguswa pia na changamoto hiyo inayoendelea kuikumba Sudan Kusini na ameridhika kusikia kuwa kuna jitihada zilifanywa na Serikali yao kuja Tanzania kwa ajili ya kutafuta chakula cha kutosha kwa ajili ya wananchi wake.
Makamu wa Rais pia amepongeza jitihada zinachukuliwa na Serikali ya Sudan Kusini chini Rais wao Salva Kiir ya kutafuta suluhu mgogoro wa kisiasa nchi humo.
Wakati huo huo, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Mauritius Anerood Jugnauth Jijini Addis Ababa – Ethiopia na ametumia sehemu ya mazungumzo hayo kuwakabirisha wawekezaji kutoka taifa hilo kuja kuwekeza katika sekta mbalimbali nchini.
Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania itaendelea kudumisha na kuendeleza mahusiano yaliyopo kati ya Mataifa hayo Mawili na Tanzania itaendelea kujifunza zaidi kutoka kwa nchi ya Mauritius hasa namna ya kuimarisha shughuli za utalii na namna bora ya kuongeza uzalishaji wa Sukari ili kukabiliana na uhaba wa bidhaa hiyo.
Makamu wa Rais pia amesisitiza uharakishaji wa kusainiwa kwa mikataba ya makubaliano kwa ajili ya manufaa ya wananchi wa pande hizo Mbili.
Naye, Waziri Mkuu wa Mauritius Anerood Jugnauth amemhakikishia Makamu wa Rais kuwa taifa hilo litaendelea kushirikiana na Tanzania katika sekta mbalimbali kwa ajili ya maslahi ya wananchi wa nchi hizo Mbili.
Imetolewa na
Ofisi ya Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
ADDIS ABABA- ETHIOPIA.
4-Julai-2017.
Pingback: Original brand viagra
Pingback: cialis savings card
Pingback: cialis coupon
Pingback: cialis professional
Pingback: How to get viagra
Pingback: Viagra best buy
Pingback: cialis savings card
Pingback: buy generic cialis online
Pingback: viagra 100mg
Pingback: viagra generic
Pingback: top erection pills
Pingback: canada online pharmacy
Pingback: canadian online pharmacy
Pingback: Viagra or cialis
Pingback: Buy cialis
Pingback: order vardenafil
Pingback: vardenafil canada
Pingback: vardenafil dosage
Pingback: online casino slots no download
Pingback: betfair casino online
Pingback: viagra without a doctor prescription
Pingback: casinos
Pingback: casino slots
Pingback: buying cialis online safely
Pingback: cash payday
Pingback: payday loans online
Pingback: loans online
Pingback: casino online slots
Pingback: online casino bonus com
Pingback: cialis buy
Pingback: online casinos real money
Pingback: u s internet gambling
Pingback: online casinos real money
Pingback: play for real online casino games
Pingback: viagra generic
Pingback: cialis buy cialis online
coupon for cialis 20mg tablets http://lm360.us/
Pingback: casino games
Pingback: sildenafil citrate pills
Hey! This is kind of off topic but I need some guidance from an established blog.
Is it hard to set up your own blog? I’m not very techincal but I can figure things out
pretty fast. I’m thinking about creating my own but I’m not
sure where to start. Do you have any ideas or suggestions?
Appreciate it http://grassfed.us/
Pingback: cialistodo.com
Oa4zdm http://pills2sale.com/ levitra nizagara
A staff restaurant abilify 10 mg tabletten Forests of cranes and scaffolding jut out from pockets ofHengqin as companies like Zhuhai Huafa Group Ltd andShimao Property Holdings Ltd race to develop theisland, where wooden stilt houses still dot parts of theshoreline.
I’d like to withdraw $100, please macrobid price walmart The move comes as arms makers brace for further cuts in U.S.military spending. Defense Secretary Chuck Hagel last weekwarned that the Pentagon would have to cut hundreds of weaponsprograms and lay off civilian workers unless Congress acts tostop $52 billion in mandatory spending cuts for fiscal 2014. Hagel said the cuts could reduce spending onprocurement and research and development by up to 20 percent.
Thanks for calling metronidazole 250 mg tablet The device, dubbed CastAR, is essentially a pair of glasses with sensors and a tiny pair of face-mounted projectors above each eye that display an interactive play field onto a surface. The glasses use the same kind of technology used on some 3D televisions for image depth, and the sensors can track head motion so that the projection changes the perspective of the image. CastAR also provides VR capabilities through a clip-on peripheral to the glasses that directs the images of the projectors over a playerâs eyes.
I’m on a course at the moment metoprolol price walmart Dreamworks also is expanding in China, and is working withpartners through a joint venture called Oriental Dreamworks tobuild a $3.1 billion entertainment district that will open inShanghai in 2016. In addition, the venture will producelive-action movies and animated films for Chinese audiences.
How many days will it take for the cheque to clear? ciprofloxacin ear drops buy online WASHINGTON, Oct 23 (Reuters) – General Dynamics Corp,the maker of Gulfstream business jets and U.S. Navy warships,reported higher earnings and operating margins for the thirdquarter despite a dip in revenue, and nudged its full-yearearnings forecast higher.
keflex.webbfenix.com https://keflex.webbfenix.com/