Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Soko la Samaki la Kibirizi Katika Manispaa ya Kigoma Ujiji

Wafanyabiashara wa samaki katika soko la Kibirizi kwenye Manispaa ya Kigoma Ujiji, Amina Sadiki (kushoto) na Halima Ramadhani (kulia) wakiparua samaki sokoni hapo, Februari 15, 2019.

Wachuuzi wa dagaa katika soko la samaki la Kibirizi kwenye Manispaa ya Kigoma Ujiji, Odes Aloys (kulia) na Rashidi Haji (kushoto) wakianika dagaa sokoni hapo Februari 15, 2019.

Muuzaji wa mafuta ya mawese yanayotokana na michikichi, Mwajuma Khamis akitamka bei za mafuta hayo aliyokuwa akiyauza kati ya Shillings 1,000 hadi 10,000 katika soko la samaki la Kibirizi kwenye Manispaa ya Kigoma Ujiji, Februari 15, 2019.

14 thoughts on “Soko la Samaki la Kibirizi Katika Manispaa ya Kigoma Ujiji

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *