Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Shule za Serikali Zaongoza Uandishi wa Insha, EAC na SADC

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dkt. Ave Maria Semakafu akizungumza wakati wa hafla fupi ya kutoa zawadi kwa wanafunzi walioshinda mashindano hayo kwa mwaka 2018 leo jijini Dodoma.

Lilian Lundo – MAELEZO, Dodoma

Wanafunzi Innocent Shirima na Sada Kimangale kutoka shule za Sekondari Moshi (Kilimanjaro) na shule ya Sekondari Kwemnabara (Tanga) wameshinda nafasi ya kwanza ya uandishi wa insha wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) kwa mwaka 2018.

Wanafunzi hao wamepewa vyeti na zawadi kwa ngazi ya kitaifa, leo Jijini Dodoma na Kaimu Katibu Mkuu ambaye pia ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia Dkt. Ave Maria Semakafu.

Mratibu wa Mashindano ya Insha kwa wanafunzi wa Shule za Sekondari toka Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Bi.Sylivia Chinguwile akizungumza wakati wa hafla fupi ya kutoa zawadi kwa wanafunzi walioshinda mashindano hayo kwa mwaka 2018 leo jijini Dodoma. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dkt. Ave Maria Semakafu na kushoto ni Kaimu Kamishna wa Elimu Tanzania, Dkt. Iyabwene Mtahabwa.

Kaimu Mkurugenzi wa Miundombinu na Huduma za Jamii toka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Eliabi Chodata akielezea namna ushiriki wa mashindano hayo kwa upande wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wakati wa hafla fupi ya kutoa zawadi kwa wanafunzi walioshinda mashindano hayo kwa mwaka 2018 leo jijini Dodoma.

Akitoa hotuba wakati wa utoaji wa vyeti kwa wanafunzi hao, Dkt. Semakafu amesema Watanzania waache kujizalilisha kwa kusema shule za Serikali sio bora, kwani watoto hao wanaozalilishwa wakienda kwenye ngazi ya Kimataifa wanafanya vizuri.

“Tukio la leo linatuma ujumbe kwa wale wote wanaoiponda elimu ya Tanzania, kwani washidi wa kwanza wa insha za EAC na SADC wote wanatoka katika shule za Serikali  ambazo zinapondwa kila siku,” amesema Dkt. Semakafu.

Mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Moshi ya Watu wenye mahitaji maalum, Innocent Shirima Akitoa neon la shukrani kwa niaba ya wenzake wakati wa hafla fupi ya kutoa zawadi kwa wanafunzi walioshinda mashindano hayo kwa mwaka 2018 leo jijini Dodoma.

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dkt. Ave Maria Semakafu akimkabidhi Cheti cha Pongezi Mshindi wa Mashindano ya Insha kwa Wanafunzi wa Nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), Sada Kimangale kutoka Shule ya Sekondari Kwemkabara ya wilayani Muheza mkoani Tanga leo wakati wa hafla ya kuwapa zawadi washindi wa mashindano hayo kwa mwaka 2018 leo jijini Dodoma.Kulia ni Mzazi wa mwanafunzi huyo.

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dkt. Ave Maria Semakafu akimkabidhi Cheti cha Pongezi na fedha taslimu shilingi Laki Tano Mshindi wa Mashindano ya Insha kwa Wanafunzi wa Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Innocent Shirima kutoka Shule ya Sekondari Moshi ya Watu wenye mahitaji Maalum. Kulia ni Mkuu wa Shule hiyo hiyo leo wakati wa hafla ya kuwapa zawadi washindi wa mashindano hayo kwa mwaka 2018 leo jijini Dodoma.

Ameeleza kuwa, walioifikisha Tanzania hapa ilipo ni Watanzania waliosoma hapahapa Tanzania na wala sio watu waliosoma nje ya Tanzania.

Aidha amempongeza Rais Dkt. John Pombe Magufuli kwa kufungua na kupaanua wigo wa elimu kwa Serikali kulipa gharama za wanafunzi hivyo kuwezesha watoto wote wa Tanzania kupata fursa kupata elimu.

Kwa upande wake, Mratibu wa mashindano hayo kutoka Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia, Sylivia Chinguwile amesema mashindano ya uandishi wa insha yamekuwa chachu kwa vijana kufanya utafiti, kujifunza na kufahamu vizuri mchakato na hatua mbalimbali za uimarishaji mahusiano kwa nchi wanachama.

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dkt. Ave Maria Semakafu akimkabidhi zawadi ya fedha Dola za Kimarekani 500 Mshindi wa Mashindano ya Insha kwa Wanafunzi wa Nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), Sada Kimangale kutoka Shule ya Sekondari Kwemkabara ya wilayani Muheza mkoani Tanga leo wakati wa hafla ya kuwapa zawadi washindi wa mashindano hayo kwa mwaka 2018 leo jijini Dodoma.Kulia ni Mzazi wa mwanafunzi huyo.Kushoto ni Bibi. Agnesi Kayola Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kikanda toka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dkt. Ave Maria Semakafu akimkabidhi Cheti cha Pongezi Mshiriki wa Mashindano ya Insha kwa Wanafunzi wa Nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), na Jumuiya ya Afrika Mashariki, Hanifa Harms kutoka Shule ya Sekondari Heritage ya Kibaha Pwani wakati wa hafla ya kuwapa zawadi washindi wa mashindano hayo kwa mwaka 2018 leo jijini Dodoma.Kulia ni Mzazi wa mwanafunzi huyo. Bi. Shamim Yunga.

Baadhi ya wanafunzi walioshinda Mashindano ya Insha kwa Wanafunzi wa Nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) na Jumuiya ya Afrika Mashariki wakifuatilia zoezi la utoaji zawadi wakati wa hafla fupi ya kuwapa zawadi washindi wa mashindano hayo kwa mwaka 2018 leo jijini Dodoma.

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dkt. Ave Maria Semakafu akiwa katika picha ya pamoja na Washindi wa Mashindano ya Insha kwa Wanafunzi wa Nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na wazazi wao mara baada ya kumaliza hafla fupi ya kuwapa zawadi washindi wa mashindano hayo kwa mwaka 2018 leo jijini Dodoma. (Picha na Idara ya Habari –MAELEZO).

Naye, Mshindi wa insha za Jumuiya ya Afrika Mashariki, Innocent Shirima ambaye pia ni mlemavu wa macho, amesema mashindano yamewapa fursa ya kujifunza masuala ya jumuiya hiyo.

Hata hivyo, ameomba waratibu wa mashindano hayo kuweka kipaumbele  matumizi ya lugha ya kiswahili katika uandishi wa insha ili kuangaza zaidi lugha ya Kiswahili nje ya mipaka ya Tanzania.

Washindi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Kitaifa ni Paschal Thomas kutoka Shule ya Sekondari Kibaha (Pwani), Lazarius Yamawasa kutoka Shule ya Sekondari Mzumbe (Morogoro),  Innocent Shirima kutoka Shule ya Sekondari Moshi (Kilimanjaro), Nasra Kondo kutoka Shule ya Sekondari Kifungilo (Tanga), Hanifa Gunter Harms  kutoka Shule ya Sekondari Heritage (Pwani), Mwanaisha Mwalimba kutoka Shule ya Sekondari Kwemkabala (Tanga), Asha Pazi kutoka Shule ya Sekondari Kilangalanga Sekondari (Pwani), Jacquiline Kassian kutoka Shule ya Sekondari Harrison UWATA (Mbeya), Samweli Chale kutoka Mbagala Sekondari (Dar es Salaam) na Coloniel Jishosha kutoka Shule ya Sekondari Shinyanga (Shinyanga).

Washindi wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika ni Sada Kimangale kutoka Shule ya Sekondari Kwemnabara  (Tanga), David Mkinga kutoka Shule ya Sekondari St. Augustine Tagaste (Dar es Salaam) na Alex Paul kutoka Shule ya Sekondari Longido (Arusha).

 

14 thoughts on “Shule za Serikali Zaongoza Uandishi wa Insha, EAC na SADC

 • October 26, 2020 at 1:30 pm
  Permalink

  Could you send me an application form? ciproterona etinilestradiol diane efectos secundarios “I haven’t talked to anybody about him in the last few days. I’ve seen the reports, I know he is hitting good,” Collins said. “There is no real formula when he may be back or what he has to do to get back.”

  Reply
 • October 26, 2020 at 3:21 pm
  Permalink

  I’m not interested in football prednisone cost without insurance walmart An Illinois businessman outraged by a court order that he return more than $500,000 in insurance money related to a 2001 wreck that killed his teenage son wanted to pay the money back in pennies in protest, only to recognize that was unfeasible.

  Reply
 • October 27, 2020 at 2:22 am
  Permalink

  I’ll put her on baterai lithium ion di indonesia The inspectors expect to finalize their work in Syria on Monday and issue a report by late October that will give more details of the August 21 incident which they have already said involved the use of sarin gas, a statement from the United Nations in Damascus said on Friday.

  Reply
 • October 27, 2020 at 3:02 am
  Permalink

  I’d like to order some foreign currency ciproxin 500 mg compresse a rilascio modificato Nicola Sturgeon, the Deputy First Minister, suddenly announced the case was being dropped last year because “no specific legal advice” existed, but it was not previously known how much public cash had been wasted.

  Reply
 • October 27, 2020 at 5:47 am
  Permalink

  I’m not working at the moment telmisartan vs lisinopril reddit “The average smartphone user reaches for their device more than 100 times per day to check text messages, read emails and social network notifications and of course, to check the time,” Ravi Nookala, U.S. president of Sony Mobile Communications, said in a statement. “SmartWatch 2 makes these core tasks easier, and does much more with apps available, for everything from productivity to fitness and games.”

  Reply
 • October 27, 2020 at 6:29 am
  Permalink

  What qualifications have you got? bsn hyper shred powder side effects In Iran, as in China, power is wielded through institutions and practices not comparable to those of Western democracies. Focusing too much on Rowhani would neglect the role of Iran’s people in political change. There too, China provides perspective. Liu Xiaobo, the imprisoned Nobel Peace Prize Winner, argues the origins of China’s significant but now moribund political reforms of the 1980s originated in pressure “from the bottom up,” rather than internal Communist Party debates.   

  Reply
 • October 27, 2020 at 7:53 am
  Permalink

  I sing in a choir san estrodex side effects In other words, a company that achieved its goal on time intwo states fell short in a third. The reasons, said outsideexperts, include relationships among contractors and thespecifics of existing computer systems in a state.

  Reply
 • October 27, 2020 at 9:19 am
  Permalink

  Would you like a receipt? cialis 5 mg generika Diana’s grandson is truly a monarch for the 21st century. The profound cultural transformation of our times is imprinted into the very fabric of this future King’s character as he arrived in the middle of seven exact squares between heavy-duty planets Uranus and Pluto. History shows that significant social figures born during these cycles carry that transformative energy into their careers, influencing cultural reforms during the next Uranus and Pluto cycle. In 40 years, Uranus will oppose Pluto, by which time the royal babe will be a powerful and quite possibly even radical leader.

  Reply
 • October 27, 2020 at 10:03 am
  Permalink

  I’m in a band motrin and tylenol together dosage However, Don Yeomans, manager of NASA’s Near-Earth Object Program Office at the Jet Propulsion Laboratory in Pasadena, Calif., insists: “This is a relatively new discovery. With more observations, I fully expect we will be able to significantly reduce, or rule out entirely, any impact probability for the foreseeable future.”

  Reply
 • October 27, 2020 at 11:27 am
  Permalink

  Could I take your name and number, please? farmacie online vendita viagra Surrogacy agencies in China and the United States arecatering to wealthy Chinese who want a baby outside thecountry’s restrictive family planning policies, who are unableto conceive themselves, or who are seeking U.S. citizenship fortheir children.

  Reply
 • May 26, 2021 at 10:10 am
  Permalink

  I will immediately grasp your rss feed as I can not find your email subscription hyperlink or newsletter service.

  Do you’ve any? Please let me realize so that I may just subscribe.
  Thanks.

  Reply
 • July 12, 2021 at 7:20 pm
  Permalink

  Hi Dear, are you actually visiting this website daily, if so after that you will absolutely take pleasant experience.

  Reply

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama