Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Sheria ya Utakasishaji Haihusiki na Masuala ya Dhamana ya Makosa ya Kawaida – Naibu Waziri Chande

Na. Farida Ramadhan, WFM, Dodoma

Serikali imeeleza kuwa Sheria ya Kudhibiti Utakasishaji wa Fedha Haramu, Ufadhili wa Ugaidi na Ufadhili wa Silaha za Maangamizi haihusiki na utoaji dhamana kwa watuhumiwa wa makosa ya kawaida.

Hayo yameelezwa jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Hamad Hassan Chande alipojibu swali la Mbunge wa Njombe Mjini, Mhe. Deodatus Mwanyika, aliyetaka kujua wakati ambao Serikali itarekebisha Sheria ya Utakasishaji Fedha aliyodai inazuia dhamana kwa watuhumiwa hata kwa makosa ya kawaida.

29 thoughts on “Sheria ya Utakasishaji Haihusiki na Masuala ya Dhamana ya Makosa ya Kawaida – Naibu Waziri Chande

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama