Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Shein Akutana na Ujumbe wa Chuo Kikuu cha VIT Nchini India.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na mgeni wake Mkuu wa Chuo Kikuu cha VIT Nchini India Dk.G Viswanathan wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo akiwa na ujumbe aliofuatana nao.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Mkuu wa Chuo Kikuu cha VIT Nchini India Dk.G Viswanathan wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo akiwa na ujumbe aliofuatana nao.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akifuatana na mgeni wake Mkuu wa Chuo Kikuu cha VIT Nchini India Dk.G Viswanathan wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo akiwa na ujumbe aliofuatana nao. [Picha na Ikulu.]


FacebooktwittermailFacebooktwittermail