Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Serikali Yajipanga Uchumi wa Buluu

Na WUU

Serikali itaendelea kuwekeza kwenye rasimali mafunzo kupitia Chuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI) ili kuhakikisha dhamira ya kuongeza Pato la Taifa kwa kutumia uchumi wa buluu inatekelezwa kikamilifu.

Akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa kwanza wa Kitaifa kuhusu Uchumi wa Buluu jijini Dar es Salaaam, Naibu Waziri wa Uchukuzi, Atupele Mwakibete, amesema utekelezaji wa mikakati hiyo inakwenda sanjari na uzalishaji wa watalaam na utekelezaji wa miradi mikubwa ya meli ikiwemo ujenzi wa Meli kubwa ya MV. Mwanza na ukarabati wa meli katika Ziwa Tanganyika, Nyasa na Viktoria.

61 thoughts on “Serikali Yajipanga Uchumi wa Buluu

Leave a Reply to MargeauxOnPn Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama