
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Anthony Mavunde akijibu swali wakati wa kikao cha Bunge Leo Mjini Dododma

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akiongoza kikao cha Bunge leo Mjini Dodoma.
Na. Lilian Lundo – MAELEZO – Dodoma.
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kushirikiana na Balozi za Tanzania zilizopo nchi mbalimbali Mashariki ya Kati imeweka miongozo kwa mawakala na waajiri wanaotaka kuajiri wafanyakazi kutoka Tanzania ili kuziba mianya ya kusababisha Watanzania wanaokwenda kufanya kazi nje ya Tanzania kupoteza haki zao.
Kauli hiyo imetolewa leo Bungeni, Mjini Dodoma na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi Vijana na Ajira Mhe. Anthony Mavunde alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum Mhe. Asha Abdullah Juma kuhusu wanawake wanaokwenda kufanya kazi za ndani katika nchi za Kiarabu na kufanyiwa ukatili mkubwa.
“Serikali imeweka miongozo itakayosaidia sio tu kuwabana mawakala bali pia kuwasaidia Watanzania kutumia fursa za ajira zilizopo nje ya nchi ili kupunguza tatizo la ajira hadi kwa vijana kwa kuelekeza kila mfanyakazi kuwa na wakala rasmi na kupata mkataba kutoka Ubalozi,” amefafanunua Mavunde.
Amesema kuwa ubalozi unakuwa na taarifa katika kila hatua ambayo Watanzania wanapitia wakati wa maandalizi ya kwenda kufanya kazi hivyo kulinda maslahi yao.
Aidha, mwajiri anayetaka kuajiri mfanyakazi kutoka Tanzania atatakiwa kusoma na kuelewa muongozo na baada ya kukubalina nao anatakiwa kujaza fomu ya kuomba kumuajiri Mtanzania na kuwasilisha ubalozini kwa ajili ya kufanyiwa kazi, ambapo maombi hayo yatafuatiwa na mkataba wa kazi.
Mavunde amesema kuwa, mkataba huo una vipengele vikuu vitano ambavyo ni taarifa ya mwajiri, taarifa ya mwajiriwa, mshahara wa mwajiriwa, masharti ya mkataba na maelezo ya mawakala wa Tanzania na Omani. Aidha mwajiri na wakala wanapaswa kukidhi mahitaji hayo ili Serikali itoe idhini kwa Mtanzania aliye tayari kufanya kazi aendelee na taratibu za ajira katika nchi hizo.
Ameendelea kwa kusema kuwa, takwinu zilizopo zinaonesha kuwa Watanzania zaidi ya elfu 12 ambapo ubalozi unawatambua wanafanya kazi katika kada mbalimbali nchini Oman. Kati ya hao wanawake watatu wamepoteza maisha kwa sababu mbalimbali ikiwemo ugonjwa na ajali.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akimpongeza mmoja wa Wabunge wa Viti Maalum kutoka Chama cha Wananchi (CUF) baada ya kula kiapo leo Bungeni Mjini Dodoma
Hata hivyo Mavunde amesema katika vifo vilivyowahi kuripotiwa ambavyo Serikali ilifuatilia hadi kujua vyanzo halisi vya vifo hivyo hakuna taarifa kuhusu vifo vilivyosababishwa na mauaji ya makusudi na mara zote Serikali inapopata taarifa za vifo katika nchi hizo hufuatilia kwa kushirikiana na mamlaka za nchi husika kujua hatma za familia zilizopoteza mwenzi wao ikiwa pamoja na malipo ya fidia kutoka kwa mwajiri wa marehemu.
Serikali imekuwa makini katika hatua za awali za maandalizi ya safari hizo kwa kuwabana mawakala na kuhakikisha kuwa mikataba inakuwa ni mizuri ili kuwezesha kuziba mianya yote ya kukwepa majukumu kwa pande zote inayoweza kusababisha Watanzania wanaokwenda kufanya kazi katika nchi hizo kupoteza haki zao.
Pingback: how much is viagra
Pingback: cialis 10 mg
Pingback: levitra 10 mg
Pingback: buy levitra
Pingback: cialis online pharmacy
Pingback: buy cialis
Pingback: buying viagra online
Pingback: real money casino
Pingback: cheap viagra
Pingback: generic cialis tadalafil
Pingback: online casino usa
viagra tablets uses
generic super cialis
generic viagra brand u s Situg Kig
Pingback: wellbutrin pills
cialis information canada pharmacy
how long before sex to take cialis
order levitra in canada Situg Kig
Pingback: cheap zithromax 100mg
buy viagra from veterans administration prescription
natural alternative to viagra
buying cialis mexico pharmacy Situg Kig
Pingback: zyvox cost
Pingback: tadalafil 40mg no prescription
Pingback: fexofenadine 120mg cost
Pingback: atomoxetine 18 mg purchase
buy single viagra uk
what is viagra jelly
wirkungsweise viagra 25mg Situg Kig
Pingback: dutasteride 0,5mg over the counter
Its like you read my mind! You appear to know a lot about this, like you wrote the book in it or something.
I think that you could do with a few pics to drive the message home a bit, but
instead of that, this is magnificent blog. A fantastic read.
I will definitely be back.