Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Serikali, Buzwagi Kushirikiana Kulinda Ulinzi na Usalama Kahama

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza wakati Kamati ya Ulinzi na Usalama wilayani Kahama ilipotembelea mgodi huo ikiwa ni ziara ya kuimarisha ulinzi katika wilaya hiyo.

Kaimu Meneja Mkuu wa Mgodi wa Dhahabu wa Buzwagi, Arthur Mgongo akizungumza mbele ya Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kulia), wakati Kamati ya Ulinzi na Usalama wilayani Kahama ilipotembelea mgodi huo ikiwa ni ziara ya kuimarisha Ulinzi katika wilaya hiyo.

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akipokea zawadi ya kitabu cha kuhifadhia kumbukumbu kutoka kw Kaimu Meneja Mkuu wa Mgodi wa Dhahabu wa Buzwagi, Arthur Mgongo wakati Kamati ya Ulinzi na Usalama wilayani Kahama ilipotembelea mgodi huo ikiwa ni ziara ya kuimarisha Ulinzi katika wilaya hiyo.

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akionesha zawadi ya kitabu cha kuhifadhia kumbukumbu alichopokea kutoka kwa Kaimu Meneja Mkuu wa Mgodi wa Dhahabu wa Buzwagi ,Arthur Mgongo(kushoto), wakati Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilayani Kahama ilipotembelea mgodi huo ikiwa ni ziara ya kuimarisha Ulinzi katika wilaya hiyo.

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akiongozana na Kaimu Meneja Mkuu wa Mgodi wa Dhahabu wa Buzwagi, Arthur Mgongo (kulia) wakati Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilayani Kahama ilipotembelea mgodi huo ikiwa ni ziara ya kuimarisha Ulinzi katika wilaya hiyo.

122 thoughts on “Serikali, Buzwagi Kushirikiana Kulinda Ulinzi na Usalama Kahama

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama