Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

RC Singida Dkt.Rehema Nchimbi Akagua Mabanda Maadhimsho Siku ya Chakula Duniani

Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dkt. Rehema Nchimbi akizungumza na Mkuu wa Kitengocha Mawasiliano Serikalini wa Wizara ya Kilimo, Bw. Revocatus Kassimba alipotembelea baadha mabanda ya Maonesho ya kuadhimisha Siku ya Chakula duniani ambayo kitaifa yanafanyikia katika viwanja vya Bombadier mkoani Singida.Kulia ni Afisa Maendeleo wa Jamii Mkoa wa Singida, Bw. Patrick Kasango Kauli mbiuya maadhimisho hayo ni; Lishe Bora kwa Ulimwengu Usio na Njaa. Maadhimisho hayo yatazinduliwa rasmi tarehe 13 Oktoba, 2019.

Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dkt. Rehema Nchimbi akisisitiza jambo alipokuwa akizungumza na baadhi ya watendaji wa Wizara ya Kilimo na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida alipotembelea baadha mabanda maonesho ya bidhaa za chakula na lishe ambayo yameanza leo mjini Singida ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Siku ya Chakula Duniani ambayo kitaifa inafanyika mkoani Singida katika viwanja vya Bombadier. Kulia ni Afisa Maendeleo wa Jamii Mkoa wa Singida, Bw. Patrick Kasango Kauli mbiu ya maadhimisho hayo ni; Lishe Bora kwa Ulimwengu Usio na Njaa. Maadhimisho hayo yatazinduliwa rasmi tarehe 13 Oktoba, 2019.

Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dkt. Rehema Nchimbi akielezea jambo kwa washiriki wa maonesho ya bidhaa za chakula na lishe ambayo yameanza leo mjini Singida ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Siku ya Chakula Duniani ambayo kitaifa inafanyika katika viwanja vya Bombadier mkoani hapa. Kauli mbiu ya maadhimisho hayo ni; Lishe Bora kwa Ulimwengu Usio na Njaa. Maadhimisho hayo yatazinduliwa rasmi tarehe 13 Oktoba, 2019.

Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dkt. Rehema Nchimbi akipokea kopo lenye majani ya chai kutoka kwa mmoja wa washiriki wa maonesho ya bidhaa za chakula na lishe ambayo yameanza leo mjini Singida ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Siku ya Chakula Duniani ambayo kitaifa inafanyika katika viwanja vya Bombadier mkoani hapa. Kauli mbiu ya maadhimisho hayo ni; Lishe Bora kwa Ulimwengu Usio na Njaa. Maadhimisho hayo yatazinduliwa rasmi tarehe 13 Oktoba, 2019.

Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dkt. Rehema Nchimbi akisikiliza maelezo kutoka kwa mmoja wa washiriki wa maonesho ya bidhaa za chakula na lishe ambayo yameanza leo mjini Singida ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Siku ya Chakula Duniani ambayo kitaifa inafanyika katika viwanja vya Bombadier mkoani hapa. Kauli mbiu ya maadhimisho hayo ni; Lishe Bora kwa Ulimwengu Usio na Njaa. Maadhimisho hayo yatazinduliwa rasmi tarehe 13 Oktoba, 2019.

Bando la Wizara ya Kilimo lilobeda kaulimbiu ya Maadhimisho ya Siku ya Chakula duniani kama linavyooneka katika viwanja vya Bombadier mjini Singida. Maadhimisho hayo kitaifa yanafanyika mkoani humo yakiambatana na maonesho ya bidhaa za chakula na lishe. Kauli mbiu ya maadhimisho hayo ni; Lishe Bora kwa Ulimwengu Usio na Njaa. Maadhimisho hayo yatazinduliwa rasmi tarehe 13 Oktoba, 2019. (Picha na Idara ya Habari – MAELEZO).

70 thoughts on “RC Singida Dkt.Rehema Nchimbi Akagua Mabanda Maadhimsho Siku ya Chakula Duniani

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama