Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

RC Aomba Nguvu ya Wananchi Mapambano Dhidi ya Vitendo vya Ukatili

Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri akizungumza na wananchi wa mkoa huo wakati alipokuwa akiupokea msafara wa kijinsia ulifika mkoani humo kwa lengo la kutoa elimu ya kupambana na vitendo vya ukatili wa kijinsia.

Na Mwandishi Wetu Tabora

Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri amewataka wananchi wa Mkoa huo kuunga mkono juhudi za Serikali katika mapambano dhidi ya vitendo vya kikatili hasa kwa wanawake na watoto.

Mkuu wa mkoa huyo ameyasema hayo jana mkoani humo wakati akiupokea Msafara wa Kijinsia kutokomeza ukatili unaolenga kutoa elimu kwa jamii kuhusu madhara ya kufanya vitendo vya ukatili wa kijinsia kuelekea Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yatakayofanyika Kitaifa Simiyu Machi 08, 2020.

Mwanri amesema kuwa Mkoa wa Tabora ni miongoni mwa mikoa inayoendekeza vitendo hivyo kwani kumekuwa na mimba na ndoa kwa  watoto wadogo wa kike na vilikuwa vinazidi kushamiri ila kwa kiasi kikubwa wamekabiliana navyo.

“Sisi hatuna utani na wale wanaofanya vitendo hivi nilishasema nitasukuma ndani wahusika wote watakaohusika na vitendo vya ukatili wa kijinsia” alisema

Baadhi ya Wananchi mkoani Tabora waliojitokeza katika kuupokea msfara wa kijinsia unaolenga kutoa elimu kwa wananchi kuhusu madhara ya vitendo hivyo.(Picha zote na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini WAMJW)

 Ameongeza kuwa suala la wananchi kushiriki katika kutoa taarifa juu ya matendo ya ukatili sio suala la hiari bali ni lazima kwani vitendo hivyo vinatokea na kufanywa na wanafamilia kwa kiasi kikubwa.

“Wanaofanya vitendo hivi ni watu wa karibu na familia zetu wanawabaka na kuwalawiti watoto wetu tunanyamaza kisa ndugu haiwezekani tukaruhusu haya” alisemaPia Mkuu wa mkoa huyo amewataka wazazi na walezi kuhakikisha wanawapeleka shule watoto wao hasa watoto wa kike ambao walisahaulika ili kuwawezesha kupata elimu itakayowasidia kuondokana na vitendo vya kikatili katika ukuaji wao na ustawi wa maisha kwa ujumla.

Msafara wa kijinsia kutokomeza ukatili wa kijinsia upo katika mzunguko ulioanzia mkoa wa Katavi, Rukwa, Songwe, Mbeya, Iringa na umefika mkoani Tabora kuelekea Shinyanga na utapokelewa mkoani Simiyu kuelekea Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani.

5 thoughts on “RC Aomba Nguvu ya Wananchi Mapambano Dhidi ya Vitendo vya Ukatili

 • October 26, 2020 at 10:41 am
  Permalink

  I can’t get a signal bactrim dm Looking ahead to the 2016 presidential campaign, Trump predicted that “Hillary is going to be tougher to beat” than President Obama was last year. He urged Republicans to pick “the right person, the perfect person” to be the party’s nominee.

  Reply
 • October 26, 2020 at 11:20 am
  Permalink

  Thanks for calling permethrin 5 dermal cream uk Google has spent hundreds of millions of dollars onfledgling network projects such as local high-speed fibernetworks. But it now depends almost completely on traditionaltelecom companies to deliver its services to consumers.

  Reply
 • October 27, 2020 at 7:06 am
  Permalink

  How many are there in a book? sumatriptano nasal preo Most animals rely upon a routine to stay balanced and your pet relies upon you to create and keep that routine. If your pet is exhibiting destructive behaviors it’s possible you aren’t creating enough opportunities for them to expend their energy. This means you need to increase the amount of time your pet gets to play. When you up the frequency of activity sessions you can decrease the possibility of them getting into trouble. A tired pet is a happy pet, but it is up to you to ensure they tire out. If a daily walk and 15 minutes of play is not enough for your pet to tire out, then you need to increase the frequency or intensity of the workout. It’s possible the vigor of the workout needs to be increased; for example if you can get your pet to run instead of walk this may do the trick.

  Reply
 • October 27, 2020 at 8:31 am
  Permalink

  Can you put it on the scales, please? vegalis 20 In 2011, 1,023 railway accidents took place in Canada causing 71 fatalities, Transport Canada reported in 2012. Both of these figures are significantly lower than those reported in 2010 –1075 accidents and 81 fatalities, the report states.

  Reply

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *