Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Rais wa Zanzibar Dkt. Ahudhuria Ibada ya Sala ya Kuuombea Mwili wa Marehemu Abdara Waziri

Waumini wa Dini ya Kiislam Zanzibar wakishiriki katika kisomo cha Hitma kwa ajili ya Marehemu Abdalla Waziri iliofanyika katika Masjid Noor Muhammad Mombasa kwa Mchini Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiitikia dua ikisomwa na Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar kulia Sheikh. Mahmoud Mussa Wadi, baada ya kisomo cha hitma iliofanyika katika Masjid Noor Muhammad Mombasa kwa Mchina Zanzibar na kulia Katibu Mtendaji wa Wakfu na Mali za Amana Zanzibar Sheikh Abdalla Talib.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akishiriki katika Sala ya kuuombea Mwili wa Marehemu Abdaall Waziri, aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Mali Zanzibar,ikiongozwa na Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Mahmoud Mussa Wadi, iliofanyika katika Masjid Noor Muhammad Mombasa kwa Mchina Zanzibar, leo 10-6-2019.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Wananchi baada ya kumalizika kwa Sala ya kuuombea Mwili wa Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Mali Zanzibar Marehemu Abdalla Waziri, iliofanyika katika Masjid Noor Muhammad Mombasa kwa Mchina Zanzibar.

 

183 thoughts on “Rais wa Zanzibar Dkt. Ahudhuria Ibada ya Sala ya Kuuombea Mwili wa Marehemu Abdara Waziri

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama