Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Rais wa Zanzibar Dk.Shein Azungumza na Mwakilishi wa Ras Al Khaimah.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mwakilishi wa Mtawala wa Ras  Al-Khaimah, Bw.Mohamed Ali Musabeh Al Nuaimi, alipofika Ikulu ndogo Migombani Jijini Zanzibar kwa mazungumzo, (kulia) Balozi wa Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu (UAE) Nchini Tanzania.Mhe.Khalifa Abdulrahman Almarzooqi na Mkurugenzi Mtendaji wa RAK Gas Nishant Dighe..(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Balozi wa Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu (UAE) Nchini Tanzania.Mhe. Khalifa Abdulrahman Almarzooqi na ( kulia) Mkurugenzi Mtendaji wa RAK Gas Nishant Dighe.walipofika Ikulu ndogo Migombani Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, kaçak bahis bedava bonus hoşgeldin bonusu veren bahis siteleri bedava bonus veren bahis siteleri hoşgeldin bonusu deneme bonusu deneme bonusu adana eskort escort mersin erotik hikayeleri erotik hikayeleri porno hikayeleri porno hikayeleri sex hikayeleri sex hikayeleri sohbet hattı akizungumza na Mwakilishi wa Mtawala wa Ras Al Khaimah. Bw,Mohamed Ali Musabeh Al Nuaimi, alipofika Ikulu Ndogo Migombani na ujumbe wake kwa mazungumzo, akiwa zanzibar akihudhuria Maadhimisho ya sherehe za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar,(kulia) Balozi wa Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu (UAE) Nchini Tanzania.Mhe.Khalifa Abdulrahaman Al Marzooqi na Mkurugenzi Mtendaji wa RAK Gas.Bw.Nishant Dighe.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mwakilishi wa Mtawala wa Ras Khaimahn Bwana Mohamed Ali Musabeh Al Nuaimi, alipofika Ikulu Ndogo Migombani Jijini Zanzibar , kwa mazungumzo, baada ya kuhudhuria  sherehe za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar, zilifanyika Uwanja Amaan .(Picha na IKULU)

One thought on “Rais wa Zanzibar Dk.Shein Azungumza na Mwakilishi wa Ras Al Khaimah.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *