Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Rais wa Zanzibar Dk. Shein Aelekea Nchini Uingereza Kwa Safari Maalum

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na kuagana na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Zanzibar, wakati wa kuondoka Nchini leo kuelekea Nchini Uingereza kwa Safari Maalum, hafla hiyo imefanyika katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Mkewe Mama Mwanamwema Shein, wakisalimiana na Viongozi na Wananchi waliofika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, wakati akiondoka kuelekea Nchi Uingereza kwa Safari Maalum.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na kuagana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi, akiondoka Zanzibar kuelekea Nchini Uingereza kwa safari Maalum, akiwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar.(Picha na Ikulu)(Picha na Ikulu)

112 thoughts on “Rais wa Zanzibar Dk. Shein Aelekea Nchini Uingereza Kwa Safari Maalum

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama