Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Rais wa Zanzibar Azungumza na Balozi wa Angola Nchini Tanzania

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein akiongozana na mgeni wake Balozi wa Angola Nchini Tanzania Mhe.Sandro Agostinho de Oliveira, wakitoka katika ukumbi baada ya kumaliza mazungumzo yaliofanyika Ikulu Jijini Zanzibar leo 6-2-2020, alipofika kujitambulisha.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akimsikiliza mgeni wake Balozi wa Angola Nchini Tanzania Mhe. Sandro Agostinho de Oliveira, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha leo , 6-2-2020.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na mgeni wake Balozi wa Angola Nchini Tanzania Mhe.Sandro Agostinho de Oliveira, alipowasili katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha leo 6-2-2020.

58 thoughts on “Rais wa Zanzibar Azungumza na Balozi wa Angola Nchini Tanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama