Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Rais Shein Azindua Mpango Shirikishi wa Kutokomeza Kipindupindu Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akikata utepe wa vitabu vya Mpango kama ishara ya Uzinduzi rasmi wa mpango shirikishi wa kutokomeza Kipindupindu Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Idris Abdulwakil Vuga Mjini Zanzibar (katikati) Waziri wa Afya Mhe.Hamad Rashid Mohamed

Viongozi na Watendaji mbali mbali katika Serikai ya Mapinduzi ya Zanzibar wakiwa katika Uzinduzi wa mpango Shirikishi wa Kutokomeza Kipindupindu Zanzibar hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Idris Abdulwakil Vuga Mjini Zanzibar,ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani).

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa (ZAWA)Mussa Ramadhan Haji (kulia)wakati alipotembelea maonesho katika Uzinduzi wa mpango shirikishi wa kutokomeza Kipindupindu Zanzibar hafla iliyofanyika leo katika viwanja vya ukumbi wa Idris Abdulwakil Vuga Mjini Zanzibar,(kushoto) Afisa Ufuatiliaji na Kampeni Ameir Muhidin Nahoda.

59 thoughts on “Rais Shein Azindua Mpango Shirikishi wa Kutokomeza Kipindupindu Zanzibar

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama