Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Rais Samia Ahutubia Jukwaa la Wafanyabiashara

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 17 Julai, 2021 amehutubia mkutano wa Jukwaa la Wafanyabiashara wa Tanzania na Burundi uliofanyika Jijini Bujumbura.

Mhe. Rais Samia amesema kufanyika kwa Kongamano hilo ni ishara tosha ya kuimarika uhusiano mzuri uliopo baina ya Tanzania na Burundi na kumuagiza Waziri wa Biashara na Uwekezaji Prof. Kitila Mkumbo kuhakikisha anashughulikia na kuondosha vikwazo vinavyokwamisha biashara kwa wafanyabiashara wa Tanzania na Burundi.

Vilevile, Mhe. Rais Samia amemtaka Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Dkt. Leonard Chamuriho na Mkurugenzi wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) Masanja Kadogosa kuhakikisha wanaboresha huduma za usafiri wa reli ili kuongeza usafirshaji wa bidhaa kwa Wafanyabiashara wa Burundi ili kuongeza idadi ya mizigo inayosafirishwa kwenda nchini Burundi.

2 thoughts on “Rais Samia Ahutubia Jukwaa la Wafanyabiashara

 • July 18, 2021 at 5:56 pm
  Permalink

  Чемпионат Европы УЕФА похож на чемпионат мира ФИФА, но только для европейских команд, и обычно считается более сложным для победы, чем чемпионат мира, из-за более высокого качества соперников. В период с 11 июня по 11 июля в 11 городах Европы пройдет 51 матч, на которых болельщики смогут насладиться и окунуться в атмосферу чемпионата.

  ___
  Свежие и актуальные новости и обзоры

  https://latestnews.com.ua/category/sport/uefa-euro-2020/

  P.S. евро 2020
  евро 2020 футбол
  евро 2020 открытие
  евро 2020 группы
  открытие евро 2020
  футбол евро 2020
  спб евро 2020
  евро 2020 расписание
  уефа евро 2020
  билеты евро 2020
  онлайн евро 2020
  квалификация евро 2020
  евро 2020 билеты
  таблица евро 2020
  группы евро 2020
  расписание евро 2020
  евро футбол 2020
  новости евро 2020
  россия евро 2020
  евро начало 2020
  евро 2020 когда
  когда евро 2020
  евро 2020 спб
  календарь евро 2020
  евро 2020 составы

  Reply

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama