Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Rais Nyusi: Rais Magufuli Anashughulikia Maisha ya Watu

Na Immaculate Makilika- MAELEZO, Chato

Rais wa Msumbiji, Felipe Jacinto Nyusi amesema kuwa  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli anashughulikia maisha ya wananchi kwa kuendelea kuboresha sekta ya  huduma za afya nchini.

Rais Nyusi amesema hayo leo wakati akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa hospitali ya Rufaa ya Kanda- Chato, iliyopo wilayani Chato mkoani Geita pamoja na kupanda kama kumbukumbu ya upendo na amani

7 thoughts on “Rais Nyusi: Rais Magufuli Anashughulikia Maisha ya Watu

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama