Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Rais Mhe. Dkt. Magufuli Azungumza na Wafungwa Katika Gereza la Butimba Jijini Mwanza

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wafungwa, Mahabusu, pamoja na Askari wa Jeshi la Magereza katika Gereza la numaradan isim sorgulama Butimba mkoani Mwanza.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi fedha mmoja wa Afisa Mwandamizi wa Magereza ACP Shaku Umuya Umba kwa ajili ya kununulia ngombe watatu na magunia ya mchele 15 ili Wafungwa, Mahubusu na Askari hao wapike na kula pamoja.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi waliokusanyika katika eneo la Butimba Kona na Mkuyuni wakati akitokea Gereza la Butimba.

Sehemu ya Wananchi waliokusanyika katika eneo la Butimba Kona na Mkuyuni wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli wakati alipokuwa akiwahutubia. PICHA NA IKULU

12 thoughts on “Rais Mhe. Dkt. Magufuli Azungumza na Wafungwa Katika Gereza la Butimba Jijini Mwanza

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama