Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Rais Mhe. Dkt. Magufuli Awaapisha Viongozi Mbalimbali Ikulu Jijini Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza mara baada ya kuwaapisha Viongozi mbalimbali Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Loata Sanare kuwa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Alphayo Kidata kuwa Katibu Tawala mkoa wa Mtwara katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Ally Possi kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari Utamaduni, Sanaa na Michezo, Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Bi. Mary Maganga kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango anayeshughulikia Utawala katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Mussa Lulandala kuwa Balozi katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.

Viongozi mbalimbali walioapishwa wakila Kiapo cha Uadilifu kwa Viongozi wa Umma Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Makamu wa Rais Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, Viongozi wengine wa Serikali Kuu katika picha ya pamoja na viongozi waliopishwa Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Loata Sanare kushoto pamoja na Mkuu wa Mkoa wa zamani wa Morogoro Dkt Stephen Kebwe mara baada ya hafla fupi ya Uapisho Ikulu jijini Dar es Salaam. (Picha na Ikulu)

75 thoughts on “Rais Mhe. Dkt. Magufuli Awaapisha Viongozi Mbalimbali Ikulu Jijini Dar es Salaam

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama