Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Rais Mhe. Dkt. Magufuli Amjulia Hali Mke wa Baba wa Taifa Mama Maria Nyerere Jijini Dar Es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakimjulia hali mjane wa Baba wa Taifa Mama Maria Nyerere anayepatiwa matibabu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakimuombea mjane wa Baba wa Taifa Mama Maria Nyerere anayepatiwa matibabu jijini Dar es Salaam.

188 thoughts on “Rais Mhe. Dkt. Magufuli Amjulia Hali Mke wa Baba wa Taifa Mama Maria Nyerere Jijini Dar Es Salaam

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama