
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli, Waziri wa Afya Ummy Mwalimu, Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko huo wa Bima ya Afya Anna Makinda akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Jengo hilo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia na kuwashukuru wananchi wa Mbeya waliokusanyika katika viwanja vya Ruanda Nzovwe mkoani Mbeya mara baada ya kuwasili.