Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Rais Magufuli na Mkewe Janeth Wameshiriki Misa Takatifu Dominika ya 18 Mwaka “C” Katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mkewe Janeth Magufuli pamoja na Waumini wengine wa Kanisa Katoliki wakishiriki Misa Takatifu Dominika ya 18 ya Mwaka “C” iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam. Ibada iliyoongozwa na Paroko Msaidizi Padre Paul Haule, Agosti 04,2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Janeth Magufuli wakipeana mkono wa Amani na Waumini wengine wa Kanisa Katoliki walioshiriki Misa Takatifu Dominika ya 18 ya Mwaka “C” iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam na kuongozwa na Paroko Msaidizi Padre Paul Haule,

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na baadhi ya Waumini nje ya kanisa Katoliki mara baada ya Misa Takatifu Dominika ya 18 ya Mwaka “C” iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam na kuongozwa na Paroko MsaidiziPadre Paul Haule, Agosti 04,2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimnunulia Muumini mtoto Rozali takatifu nje ya kanisa Katoliki mara baada ya Misa Takatifu Dominika ya 18 ya Mwaka “C” iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam iliyoongozwa na Paroko MsaidiziPadre Paul Haule, Agosti 04,2019.

165 thoughts on “Rais Magufuli na Mkewe Janeth Wameshiriki Misa Takatifu Dominika ya 18 Mwaka “C” Katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama