Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Rais Magufuli Azindua Hospitali ya UWATA, Azungumza na Wananchi wa Inyala, Igurusi, Mswiswi na Chimala

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akivuta utepe pamoja na Waziri wa Elimu Profesa Joyce Ndalichako kuashiria uzinduzi wa Hospitali ya Uamsho wa Wakristo Tanzania (UWATA) iliyopo Mwakibete jijini Mbeya ambayo inatoa huduma za afya kwa mkoa wa Mbeya pamoja na nchi jirani za Zambia na Malawi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe pamoja na Waziri wa Elimu Profesa Joyce Ndalichako kuashiria uzinduzi wa Hospitali ya Uamsho wa Wakristo Tanzania (UWATA) iliyopo Mwakibete jijini Mbeya ambayo inatoa huduma za afya kwa mkoa wa Mbeya pamoja na nchi jirani za Zambia na Malawi.

Mandhari ya hospitali ya UWATA iliyopo jijini Mbeya ambayo inatoa huduma za afya kwa mkoa wa Mbeya pamoja na nchi jirani za Zambia na Malawi.

228 thoughts on “Rais Magufuli Azindua Hospitali ya UWATA, Azungumza na Wananchi wa Inyala, Igurusi, Mswiswi na Chimala

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama