Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Rais Magufuli Atoa Heshima za Mwisho kwa Mwili wa Marehemu Brigedia Jenerali Mstaafu Ngwilizi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiandika katika kitabu cha maombolezo mara baada ya kuwasili katika Hospitali kuu ya Jeshi ya Lugalo Jijini Dar es Salaam Mei 22, 2019 kwa ajili ya kuaga mwili wa marehemu Brigedia Jenerali Mstaafu Athuman Hassan Ngwilizi aliyefariki dunia hospitalini hapo Mei 20, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Brigedia Jenerali Mstaafu Athuman Hassan Ngwilizi katika Hospitali kuu ya Jeshi ya Lugalo Jijini Dar es Salaam Mei 22,2019 ,marehemu alifariki dunia hospitalini hapo Mei 20,2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Brigedia Jenerali Mstaafu Athuman Hassan Ngwilizi katika Hospitali kuu ya Jeshi ya Lugalo Jijini Dar es Salaam Mei 22,2019 ,marehemu alifariki dunia hospitalini hapo Mei 20,2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Shekhe Mkuu wa Dsm Alhaji Mussa Salum baada ya kuwasili katika Hospitali kuu ya Jeshi ya Lugalo Jijini Dar es Salaam Mei 22,2019 kwa ajili ya kuaga mwili wa marehemu Brigedia Jenerali Mstaafu Athuman Hassan Ngwilizi aliyefariki dunia hospitalini hapo Mei 20,2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Venance Mabeyo mara baada ya kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Brigedia Jenerali Mstaafu Athuman Hassan Ngwilizi katika Hospitali kuu ya Jeshi ya Lugalo Jijini Dar es Salaam Mei 22,2019 , marehemu alifariki dunia hospitalini hapo Mei 20,2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa ameungana na viongozi wengine na ndugu kusindikiza kwenye gari mwili wa Marehemu Brigedia Jenerali Athuman Hassan Ngwilizi kutoka katika Hospitali kuu ya Jeshi ya Lugalo Jijini Dar es Salaam Mei 22,2019 kuelekea Mlalo Lushoto Mkoani Tanga kwa ajili ya mazishi ,Marehemu alifariki dunia hospitalini hapo Mei 20,2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akitoa pole kwa Familia ya marehemu mara baada ya kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Brigedia Jenerali Athuman Hassan Ngwilizi katika Hospitali kuu ya Jeshi ya Lugalo Jijini Dar es Salaam Mei 22,2019 ,marehemu alifariki dunia hospitalini hapo Mei 20,2019.

35 thoughts on “Rais Magufuli Atoa Heshima za Mwisho kwa Mwili wa Marehemu Brigedia Jenerali Mstaafu Ngwilizi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama