
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongea jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. George Simbachawene na Mhe. Hussein Bashe Naibu Waziri wa Kilimo baada ya kuwaapisha Ikulu jijini Dar es Salaam leo Jumatatu Julai 22, 2019
Na: Frank Shija
JPM: Rais John Pombe Magufuli metoa agizo kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhe. Goerge Simbachawene kushughulikia kero ya ucheleweshwaji wa vibali kwa wawekezaji ili kuendana na kasi ya uchumi wa viwanda.
Amelitaka Baraza la la Taifa la Usimamizi wa Mazingira (NEMC), kutochelewesha utoaji wa vibali kwa wawekezaji ili kuongeza ufanisi katika ukuaji wa uchumi wa viwanda.
“Pasiwe na ucheleweshwaji wa vibali vya NEMC kwa viwanda vyetu, sisi tunataka kuwa na viwanda vya kutosha na wawekezaji wasiwekewe vikwazo kwa visingizio vya NEMC, vibali hivi vitoke kwa sababu tunahitaji viwanda, ikiwezekana wawekeze kwanza vibali vya NEMC vitafuata baadae,”alisema Dkt. Magufuli.
Rais Magufuli amemtaka Simbachawene kusimamia kwa karibu suala hilo la ucheleweshwaji wa vibali vya Tathmini ya uharibifu wa Athari ya Mazingira vinavyotolewa na NEMC.
Rais Magufuli ameongeza kuwa fedha nyingi zinatolewa na wafadhili kwa ajili ya miradi ya mazingira lakini kumekuwa hakuna matokeo ya kuridhisha hivyo ametaka kuwepo usimamizi madhubuti wa rasilimali fedha inayoelekezwa katika miradi ya mazingira.
Katika hatua nyingine, Rais Magufuli amempongeza Naibu Waziri wa Kilimo, Hussein Mohamed Bashe kwa uchambuzi mzuri wa masuala ya kilimo aliokuwa anaufanya akiwa bungeni na kuongeza kuwa hiyo ndiyo sababu ameamua kumteua ili akayatekeleze kwa vitendo kwa ajili ya kukwamua kilimo.
Kwa upande wake Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), George Boniphace Simbachawene amesema kuwa shughuli zote za kiuchumi zinategemea sana mazingira hivyo atashirikiana na wataalamu wa wa ofisi yake kumshauri vyema Makamu wa Rais katika namna bora ya kutatua changamoto zitokanazo na uharibifu wa mazingira.
Ameongeza kuwa fedha zinazotajwa kuingia katika nchi kwa ajili ya mazingira ni nyingi lakini zimekuwa zinatumika zaidi katika masuala ya kiutawala badala ya kuelekezwa katika miradi ya kukabiliana na uharibifu wa mazingira.
“Nataka nikuhakikishie Mhe. Rais kuwa nitamsaidia Makamu wa Rais katika Ofisi yake, kwanza natambua lakini pili mimi kwa kushirikiana na wenzangu nitakaowakuta pamoja na walaalamu nitajitahidi kutoa mawazo yangu ili tuone ni namna gani tunaokoa mazingira,” alisema Simbachawene.
Akizungumzia masuala ya Muungano, Waziri Simbachawene amesema kuwa anafahamu kuwa msingi wa Muungano wetu siyo tu yaliyoandikwa katika Katiba na kufafanuliwa katika sheria bali ni wa kihistoria ambao unajengeka katika maelewano zaidi badala ya maandishi.
Naye Naibu Waziri wa Kilimo, Hussein Mohamed Bashe amesema kuwa anafahamu changamoto zinazowakabili wakulima wa nchi hii hasa ukizingatia kuwa ndiyo sekta inayowagusa asilimia kati ya 60-70 ya watanzania wote, wengi wao ndiyo wanyonge ambao Rais Magufuli ndiye mtetezi wao.
Amesema kuwa atajitahidi kadri ya uwezo wake kwa mamlaka atakayopewa kuhakikisha anamsaidia Mhe. Rais katika kutekeleza Ilani ya Uchaguzi ili kukwamua sekta ya Kilimo nchini.
Hafla hii ya uapisho imefanyika kufuatia Mhe. Rais kufanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri kwa kutengua uteuzi wa aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Januari Makamba na nafasi yake kuchukuliwa na Waziri George Simbachawene, huku Naibu Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe akijaza nafasi iliyoachwa wazi na Mhe. Innocent Bashungwa ambaye hivi karibuni aliteuliwa kuwa Waziri wa Viwanda na Biashara.
Pingback: cialis dosage 40 mg
Pingback: cialis 20 mg price
Pingback: United healthcare viagra
Pingback: how much does cialis cost at walmart
Pingback: best ed pills at gnc
Pingback: cheap ed pills
Pingback: ed pills that really work
Pingback: cialis generic
Pingback: online canadian pharmacy
Pingback: cvs pharmacy
Pingback: canada pharmacy
Pingback: cialis visa
Pingback: generic cialis
Pingback: levitra pill
Pingback: order vardenafil
Pingback: levitra online pharmacy
Pingback: gambling casino online
Pingback: online casino slots no download
Pingback: viagra discount
Pingback: online casino for real cash
Pingback: cialis prices
Pingback: short term loans
Pingback: installment loans
Pingback: viagra cost
Pingback: generic cialis
Pingback: markus barrenger
Pingback: cialis buy
Pingback: cialis 5 mg
Pingback: 5 mg cialis
Pingback: online slots
Pingback: online casino gambling
Pingback: slots online
Pingback: online casino
Pingback: viagra online canadian pharmacy
Pingback: cheapest viagra
Pingback: viagra dosage
Pingback: cialis generic date
Pingback: casino online games
buy cialis http://lm360.us/
Hurrah, that’s what I was quest for, what a entropy! present
Hera at this blog, thanks admin of this website. http://www.stdstory.com/
hydroxychloroquine drug https://www.herpessymptomsinmen.org/where-to-buy-hydroxychloroquine/
I am in fact delighted to read this website posts
which contains tons of valuable data, thanks for providing such information. https://buszcentrum.com/
5 sildenafil softabs
viagra prices
cialis 10mg not working Situg Kig
Incredible! This blog looks just like my old one! It’s on a totally different
topic but it has pretty much the same layout and design. Superb choice of colors! http://cleckleyfloors.com/
Very good post! We will be linking to this great content on our
website. Keep up the great writing. https://www.wisig.org/
We stumbled over here coming from a different web page and thought I might as well
check things out. I like what I see so now i’m following you.
Look forward to looking at your web page again. http://www.bee-rich.com/
Hi, i think that i saw you visited my site so i came to return the favor.I am attempting to find things to enhance my web site!I suppose its ok to use some of your
ideas!! http://grassfed.us/
keflex 500mg antibiotics https://keflex.webbfenix.com/
Pingback: ceclor over the counter
Pingback: legitimate online slots for money
Pingback: online casino games real money
Pingback: online casino slots no download
Pingback: wellbutrin 300 mg united states
best generic cialis online
buy cheap cialis usa visa
cheap viagra pills canada Situg Kig
Pingback: where to buy zovirax
Pingback: zyloprim without prescription
Pingback: aripiprazole for sale
viagra sildenafil 50mg reviews
viagra discount coupons
sildenafil calox 100 mg Situg Kig
Pingback: how to purchase donepezil 5 mg
Pingback: dutasteride 0,5mg united states
Pingback: cefuroxime 125mg for sale
Pingback: citalopram united kingdom
online store viagra
buy tadalafil online usa
betablokker en viagra Situg Kig
Pingback: prochlorperazine otc