Na Mwandishi Wetu,
Wakulima wa Korosho wa kijiji cha Mtonya B katika Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma, wamempongeza Rais John Magufuli kwa kuwajaza pesa ambazo tangu waanze kuuza zao hilo hawajawahi kupewa pesa hizo kwa mkupuo kwa mauzo ya bei ya Tsh 3300 kwa kilo.
Wakizungumza Kijijini hapo leo kwa niaba ya wakulima wenzao 534 waliolipwa fedha hizo na Serikali, wakulima hao walisema, kitendo kilichofanywa na Serikali katika kusimamia bei ya zao la korosho kimedhihirisha nia ya Rais Magufuli kusaidia wananchi wanyonge hususani wakulima.
Mmoja wa wakulima hao, Hussein Namkala alisema katika msimu huu wa kilimo amelima shamba la hekari 5 na katika mavuno yake ya awali alipata kilo 400 ambapo katika malipo yaliyotolewa na Serikali amefanikiwa kupata Tsh Milioni 1.3.
Anaongeza kuwa Rais Magufuli ni Kiongozi wa watu ambaye anaguswa na matatizo ya Watanzania wote pasipo na ubaguzi kwani kwa wakati amekuwa akifanyia kazi kero mbalimbali za wananchi wake hususani Watanzania maskini.
“Ili kumuungaa mkono Rais Magufuli, naahidi kumtia moyo kwa kufanya kazi zaidi na kuongeza ari ya kujituma kiasi ambacho natarajia kuongeza hekari 3 zaidi na fedha nitakazopata zitahudumia shamba langu” anasema Namkala
Kuhusu pembejeo za kilimo katika zao la korosho, Namkala alimwomba Rais Magufuli kuwahimiza Watendaji katika Halmashauri ikiwemo Maafisa Ushirika na Kilimo kuharakisha kupatikana kwa sulphur ambayo imewayumbisha Wakulima wengi katika mwaka huu wa mavuno sana kwani wengi wao wamelanguliwa kwa kuuziwa Tsh 50,000 na Tsh. 70,000, ambapo baadhi ya wakulima wenzao walikosa fedha hizo za kupulizia dawa.
“Tunaiomba Benki ya Kilimo Tanzania iwe mkombozi wetu wa kutukopesha fedha kwa ajili ya kuhudumia korosho na mara tunapovuna tuwalipe maana hizi Benki nyingine zinatukata riba kubwa na kipato chetu ni kidogo” alisema Namkala.
Naye Martha Chilumba mkulima wa korosho aliyevuna kilo 303 katika shamba lake la hekari mbili amempongeza Rais Magufuli kwa kuwajali wakulima wa wanyonge wa kijiji cha Mtonya, kwa kuwa ameonesha mfano wa Viongozi wachache wanaoguswa na maslahi ya watu wengine.
Kwa upande wake Mjumbe wa Bodi ya Chama cha Msingi cha Mtetesi AMCOS Paulo Mlawali, Rais Magufuli amewaokoa wakulima wa kijiji hicho kutoka katika mikono ya wafanyabiashara walanguzi wa bei za korosho za wakulima na sasa matumaini ya maisha yao yamerejea baada ya kukata tamaa na kutokuwa na uhakika wa hatma ya zao la korosho.
“Wito wangu kwa Rais Magufuli kama kuna uwezekanao akomeshe hili suala la Kangomba kwa kuwaruhusu Benki ya Maendeo TADB kutukopesha fedha badala ya wakulima kulanguliwa hovyo na pia kukomesha suala la kuuibiwa kwa mizani na watendaji wasio waaminifu msimu wa korosho” alisema Mlawali.
Aidha Fauwe Mawilo ambaye ni mkulima wa hekari tano alisema katika msimu huu wa mavuno amefanikiwa kuvuna kilo 480 na kufanikiwa kupata kiasi cha Tsh Milioni 1.4, alimwomba Rais Magufuli kutoa ushauri kwa taasisi za kifedha ikiwemo mabenki kupunguza makato ya riba kwa kuwa fedha zote wanazolipwa baada ya mavuno zimekuwa zikirejeshwa kwao na wao kukosa fedha ya chakula.
Pingback: Buy viagra in us
Pingback: cialis 5 mg
Pingback: cialis online
Pingback: Free trial of viagra
Pingback: Low cost canadian viagra
Pingback: cialis canadian pharmacy
Pingback: buy cialis online
Pingback: cialis savings card
Pingback: viagra for sale
Pingback: viagra for sale
Pingback: cheap viagra
Pingback: ed meds online
Pingback: pills for ed
Pingback: medicine for erectile
Pingback: cialis 20 mg
Pingback: canadian pharmacy online
Pingback: canada online pharmacy
Pingback: cialis online
Pingback: vardenafil pills
Pingback: vardenafil dosage
Pingback: payday loans online
Pingback: cialis to buy
Pingback: 20 cialis
Pingback: chumba casino
Pingback: generic cialis online
Pingback: buy real cialis online
Pingback: free casino games
Pingback: online casinos
price of cialis 40 mg http://lm360.us/
sildenafil http://viagraeiu.com/
Pingback: Viagra 200mg canada
Hello, i believe that i saw you visited my weblog therefore i came
to return the favor.I am trying to get things to heighten my net situation!I conjecture its
ok to apply approximately of your ideas!! http://www.stdstory.com/
hydroxychloroquine cancer https://www.herpessymptomsinmen.org/where-to-buy-hydroxychloroquine/
Hello there! This is my first visit to your blog! We are a team of volunteers and starting a new project in a community in the same niche.
Your blog provided us useful information to work
on. You have done a extraordinary job! https://www.wisig.org/
This is my first time visit at here and i am genuinely pleassant to read all at one place. https://buszcentrum.com/
whoah this weblog is fantastic i love studying your posts.
Keep up the good work! You already know, many individuals are
searching around for this information, you could aid them greatly. http://grassfed.us/
generic name for cialis
buying viagra in ireland
no prescription cialis overnight delivery Situg Kig
Pingback: celebrex australia
Pingback: celexa online pharmacy
Pingback: casino game
Pingback: casino games
Pingback: wellbutrin 300mg australia
Pingback: zanaflex 2mg without a prescription
Pingback: zocor over the counter
Pingback: zyprexa medication
Pingback: furosemide 40 mg otc
Pingback: fexofenadine online
Pingback: leflunomide 10mg nz
cialis 5 ou 10 mg
otc viagra alternative
order levitra 20mg Situg Kig
levitra prices nationwide
25mg viagra onlinesale
buy cytotec in new zealand Situg Kig
viagra woolworths Buy Kamagra Online Australia Legally can i buy real cialis online
how to use viagra for best results
cialis oki where can i buy cialis without a prescription cialis in your 30s
otc drugs like cialis buy cialis tadalafil0 with pay pal cialis for heart problems
Pingback: cephalexin 500mg online
cialis gives me heartburn buy cialis tadalafil tablets is online cialis real
Pingback: how to purchase loratadine 10 mg
cialis online delivery overnight generic viagra cialis online pharmacy
buy cialis online without a prescription difference levitra cialis viagra
cialis costa rica pharmacie nice cialis