Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Rais Magufuli Afanya Uteuzi wa RC, RAS, DC, DED na DAS

Ikulu, Chamwino.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 15 Julai, 2020 amefanya uteuzi wa viongozi wa Mikoa na Wilaya kama ifuatavyo;


Kwanza, Mhe. Rais Magufuli amemteua Bw. Aboubakar Kunenge kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam.


Kabla ya uteuzi huo, Bw. Kunenge alikuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam na anachukua nafasi ya Bw. Paul Christian Makonda.

282 thoughts on “Rais Magufuli Afanya Uteuzi wa RC, RAS, DC, DED na DAS

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama