Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Rais Dkt.Shein Azungumza na Ujumbe wa WHO na Madaktari wa Kichina Ikulu Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Profesa Robert .C,Spear wa Chuo Kikuu cha California, alipowasili katika ukumbi wakati wa hafla ya kuzungumza na Ujumbe wa WHO na Madaktari wa Kichina waliosimamia Mradi wa Kupambana na Kichocho Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt. Ali Mohamed Shein akizungumza na Ujumbe wa WHO na Madaktari wa Kichina waliosimamia Mradi wa Majaribio ya Kupambana na Kichocho Zanzibar, kushoto Balozi mdogo wa China Zanzibar Mhe. Xie Xiaowu walipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Ali Mohamed Shein akimsikiliza kiongozi wa Ujumbe wa WHO Dr. Dirk Engels wakati walipofika na Ujumbe wa Madaktari wa Kichina waliosimamia Mradi wa Kupambana na Kichocho Zanzibar, kushoto kwa Rais Balozi mdogo wa China anayefanyia kazi zake Zanzibar Mhe. Xie Xiaowu,

Baadhi ya Madaktari wa Kichina waliosimamia Mradi wa Kupambana na Kichocho Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, walipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo leo,10-5-2019.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe wa WHO na Madaktari wa Kichina waliosimamia Mradi wa kupambana na Kichocho Zanzibar, waliofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo leo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiagana na Balozi Mdogo wa China anayefanyia Kazi zake Zanzibar Mhe. Xie Xiaowu, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika Ikulu Zanzibar.

188 thoughts on “Rais Dkt.Shein Azungumza na Ujumbe wa WHO na Madaktari wa Kichina Ikulu Zanzibar

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama