Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Rais Dkt. Shein Azungumza na Mwakilishi wa UNICEF Nchini Tanzania Ikulu Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na mgeni wake Mwakilishi wa UNICEF Nchini Tanzania Bi. Maniza Zamani, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi Nchini Tanzania

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akikabidhiwa picha na Mwakilishi wa UNICEF Nchini Tanzania Bi. Maniza Zamani , yenye Ujumbe Unaoashiria Upendo kwa Watoto, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kumuaga leo.3-5-2019.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mwakilishi wa UNICEF Nchini Tanzania Bi. Maniza Zamani, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa Kazi Tanzania akiwa na Mwakilishi wa UNICEF Anayefanyika kazi zake Zanzibar B. Maha Damaj

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mwakilishi wa UNICEF Nchini Tanzania Bi. Maniza Zamani, alipofika Ikulu Zanzibar, kuaga baada ya kumaliza muda wake wa Kazi Nchini, kushoto akiwa na Mwakilishi wa UNICEF anayefanyika Kazi zake Zanzibar Bi. Maha Damaj

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na mgeni wake Mwakilishi wa UNICEF Nchini Tanzania Bi. Maniza Zamani, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo leo,3-5-2019.

27 thoughts on “Rais Dkt. Shein Azungumza na Mwakilishi wa UNICEF Nchini Tanzania Ikulu Zanzibar.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama