Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Rais Dkt. Mwinyi Atangaza Baraza Jipya la Mawaziri la Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi akitangaza majina ya Mawaziri katika Wizara mbalimbali za Serikali ya Awamu ya Nane ya Mapinduzi Zanzibar katika ukumbi wa mikutano Ikulu Jijini Zanzibar.
Baadhi ya Viongozi waliohudhuria katika hafla ya kutangazwa majina ya Mawaziri wa Wizara mbalimbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Rais wa Zanzibar wa Awamu ya Nane na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi katika ukumbi wa mikutano Ikulu Jijini Zanzibar

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *