Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Rais Dkt. Magufuli Ziaranai Wilaya ya Nkasi

Sehemu ya barabara ya Sumbawanga-Kanazi yenye urefu wa kilometa 75 iliyozinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli jana Oktoba 8,

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa Namanyere Nkasi mkoani Rukwa mara baada ya kuwasili akitokea Sumbawanga.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akitoa maelekezo kwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Kangi Lugora mara baada ya kuhutubia wanachi wa Namanyere Nkasi mkoani Rukwa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na Mama Felista Mkombo baada ya kuamuru ofisi za Mkjuu wa Wilaya na Mkuu wa Polisi Wilayani Nkasi kumpa shillingi milioni 15 kama fidia ya kuibiwa ng’ombe zake 25 Mjini Namanyere wilayani Nkasi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi kijiji cha Chala wilayani Nkasi Mkoa wa Rukwa akiwa njiani akitokea Sumbawanga jana Oktoba 8, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisoma mango kabla ya kuikata utepe kuzindua barabara ya Sumbawanga-Kanazi mkoani Rukwa jana Oktoba 8, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishuhudia wananchi wakijiandikisha katika daftari la mpinga kura eneo la Nkomolo Wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa jana Oktoba 8, 2019. Akitoa maelezo kushoto ni Katibu Tawala Msaidizi wilaya ya Nkasi Bw. Albinus Mugonya.

Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akituza vijana wa kwaya ya JKT walipotumbuiza wakati wa mkutano wa hadhara Mjini Nyamanyere wilaya ya Nkasi Mkoa wa Rukwa jana Oktoba 8, 2019.(Picha na Ikulu)

29 thoughts on “Rais Dkt. Magufuli Ziaranai Wilaya ya Nkasi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama