Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Rais Dkt Magufuli na Rais Lungu wa Zambia Wazindua Kituo cha Mpakani

Rais Dkt John Pombe Magufuli na Rais Edgar Lungu wa Zambia wakifunua kitambaa kuashiria uzinduzi wa Kituo cha Mpakani cha Tunduma-Nakonde One-Stop Border Post upande wa Tanzania Leo Jumamosi Oktoba 5, 2019

Rais Dkt John Pombe Magufuli na Rais Edgar Lungu wa Zambia wakipeana mikono baada ya kuzindua kwa pamoja wa Kituo cha Mpakani cha Tunduma-Nakonde One-Stop Border Post upande wa Tanzania Leo Jumamosi Oktoba 5, 2019

Rais Dkt John Pombe Magufuli na Rais Edgar Lungu wa Zambia wakiwa na wafadhili wa mradi wakipanda mti kama kumbukumbu baada ya kuzindua Kituo cha Mpakani cha Tunduma-Nakonde One-Stop Border Post upande wa Tanzania Leo Jumamosi Oktoba 5, 2019

Rais Dkt John Pombe Magufuli na Rais Edgar Lungu wa Zambia wakiondoka baada ya kuzindua Kituo cha Mpakani cha Tunduma-Nakonde One-Stop Border Post upande wa Tanzania Leo Jumamosi Oktoba 5, 2019

Rais Dkt John Pombe Magufuli na Rais Edgar Lungu wa Zambia wakikata utepe wakiwa na mawaziri wa nchi Zao kuashiria uzinduzi wa Kituo cha Mpakani cha Nakonde-Tunduma One-Stop Border Post upande wa Zambia Leo Jumamosi Oktoba 5, 2019

Rais Dkt John Pombe Magufuli akimsihi Mkuu wa Wilaya ya Nakonde Bw. Alex Sinkala kusimama baada ya kumpigia magoti kumshukuru kwa masada wa shilingi milioni tano taslimu ili kusaidia ujenzi wa Shule ya Sekondary ya Nakonde wakati akihutubiua wananchi wa Zambia Katika mkutano wa hadhara baada ya uzinduzi wa Kituo cha Mpakani cha Nakonde-Tunduma One-Stop Border Post upande wa Zambia Leo Jumamosi Oktoba 5, 2019

Rais Dkt John Pombe Magufulii akihutubiua wananchi wa Zambia Katika mkutano wa hadhara baada ya uzinduzi wa Kituo cha Mpakani cha Nakonde-Tunduma One-Stop Border Post upande wa Zambia Leo Jumamosi Oktoba 5, 2019

Rais Dkt John Pombe Magufuli na Rais Edgar Lungu wa Zambia wakipeana mikono baada ya kukada utepe wakiwa na mawaziri wa nchi Zao kuashiria uzinduzi wa Kituo cha Mpakani cha Tunduma-Nakonde One-Stop Border Post upande wa Tanzania Leo Jumamosi Oktoba 5, 2019

Rais Dkt John Pombe Magufuli na Rais Edgar Lungu wa Zambia wakikata utepe wakiwa na mawaziri wa nchi Zao kuashiria uzinduzi wa Kituo cha Mpakani cha Tunduma-Nakonde One-Stop Border Post upande wa Tanzania Leo Jumamosi Oktoba 5, 2019

130 thoughts on “Rais Dkt Magufuli na Rais Lungu wa Zambia Wazindua Kituo cha Mpakani

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev e┼čyas─▒ depolama