Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Rais Dkt. Magufuli Azindua Hifadhi ya Taifa ya Burigi-Chato

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiimba wimbo wa Taifa wakati wa Uzinduzi wa Hifadhi ya Taifa ya Burigi-Chato leo Mkoani

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua gwaride la Jeshi Usu wakati wa Uzinduzi wa Hifadhi ya Taifa ya Burigi-Chato leo Mkoani Geita.

Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Dkt. Hamisi Kigwangalla akiwavisha vyeo vya Kuwa Makamishna wakuu wa Taasisi nne za TAWA, TANAPA, TFS na Mamlaka ya Ngorongoro.

Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Dkt. Hamisi Kigwangalla akiongea wakati wa Uzinduzi wa Hifadhi ya Taifa ya Burigi-Chato leo Mkoani Geita ambapo alisema katika. Ikakati ya Wizard hiyo kuendeleza sekta ya Utalii, wameanzisha shughuli mbalimbali zinazoambatana na utalii ikiwemo kuanzisha utalii wa fukwe katika Ziwa Victoria.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea wakati wa Uzinduzi wa Hifadhi ya Taifa ya Burigi-Chato leo Mkoani Geita ambapo alieleza mipango ya Serikali ya kuendelea kukuza na Kuendeleza Sekta ya Utalii nichini

Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Dkt. Hamisi Kigwangalla akimpa Zawadi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ya Sanamu ya Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere wakati wa Uzinduzi wa Hifadhi ya Taifa ya Burigi-Chato leo Mkoani Geita.

288 thoughts on “Rais Dkt. Magufuli Azindua Hifadhi ya Taifa ya Burigi-Chato

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama