Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Rais Dkt Magufuli Awaapisha Viongozi Aliowateua, Ashuhudia Airtel Wakitoa Shilingi Bilioni 3 Kama Fidia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Charles Kichere kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Njombe Ikulu jijini Dar es salaam jana Jumatatu Juni 10, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Edwin Mhede kuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Ikulu jijini Dar es salaam jana Jumatatu Juni 10, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na waalikwa akishuhudia Jaji mstaafu, Harold Nsekela ambaye ni Kamishna wa Maadili, Sekretarieti ya Utumishi wa Umma akiwalisha kiapo cha Maadili ya Viongozi wa Umma Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Innocent Lugha Bashungwa, Katibu Tawala wa Mkoa wa Njombe Bw. Charles Kichere na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Edwin Mhede Ikulu jijini Dar es salaam jana Jumatatu Juni 10, 2019

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishuhudia Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango akipokea mfano wa hundi wa Shilingi Bilioni 3 zikiwa ni Fidia kwa serikali ya miezi mitatu kwa hesabu ya shilingi bilioni moja kwa kila mwezi ya Kampuni ya Airtel kwa Serikali toka kwa Mwenyekiti wa Bharti Airtel Bw. Sunnil Mittal kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam jana Jumatatu Juni 10, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru Mwenyekiti wa Bharti Airtel Bw. Sunnil Mittal kwa kutoa dola milioni moja kama mchango wake binafsi kwa ajili ya ujenzi wa Hospitali ya Uhuru, Ihumwa, Dodoma pamoja na shilingi bilioni tatu za Fidia ya mwezi miezi mitatu kwa hesabu ya shilingi bilioni moja kila mwezi kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam jana Jumatatu Juni 10, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubua baada ya baada ya kuwaapisha Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Innocent Lugha Bashungwa, Katibu Tawala wa Mkoa wa Njombe Bw. Charles Kichere na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Edwin Mhede na kushuhudia kupokewa shilingi bilioni 3 kama Fidia ya kila mwezi ya kampuni ya Airtel na dola milioni moja mchango binafsi wa Mwenyekiti wa Bharti Airtel Bw. Sunnil Mittal kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam jana Jumatatu Juni 10, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Mwenyekiti wa Bharti Airtel Bw. Sunnil Mittal baada ya kuwaapisha Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Innocent Lugha Bashungwa, Katibu Tawala wa Mkoa wa Njombe Bw. Charles Kichere na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Edwin Mhede na kushuhudia kupokewa kwa Fidia ya kila mwezi ya kampuni ya Airtel na mchango binafsi wa Mwenyekiti wa Bharti Airtel Bw. Sunnil Mittal kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam jana Jumatatu Juni 10, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akimuapisha Bw. Innocent Lugha Bashungwa kuwa Waziri wa Viwanda na Biashara Kichere Ikulu jijini Dar es salaam jana Jumatatu Juni 10, 2019. (Picha na Ikulu)

 

4 thoughts on “Rais Dkt Magufuli Awaapisha Viongozi Aliowateua, Ashuhudia Airtel Wakitoa Shilingi Bilioni 3 Kama Fidia

 • Pingback: generic sildenafil

 • July 25, 2020 at 5:41 pm
  Permalink

  I’m training to be an engineer pornbuster Assemblywoman Shannon Grove (R-Bakersfield) said that she and her husband were sitting at a table with Larwood — Kern County’s first female supervisor who now serves as a community college trustee — and her husband when she suddenly started to choke.

  Reply
 • July 26, 2020 at 9:40 am
  Permalink

  Could you ask him to call me? gaybubble This year’s field includes past winners of both the Spartathlon, the 246-kilometer Greek race held annually between Athens and Sparta, and the notorious Badwater Ultramarathon, the self-styled “world’s toughest foot race” over 217 kilometers through California’s Death Valley.

  Reply
 • August 6, 2020 at 1:34 pm
  Permalink

  I’m a partner in cialis softabs 20mg Davis said Bluewater, which has partnered with celebrities such as TV host Ellen DeGeneres and actor William Shatner, had reached out to Deen for a partnership several months earlier but the 66-year-old Southern food doyenne has not yet responded.

  Reply

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *