Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Rais Dkt. Magufuli Ashiriki Dhifa ya kitaifa iliyoandaliwa na Rais wa Namibia.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Rais Mstaafu wa Namibia Mhe. Sam Nujoma wakati wa dhifa ya kitaifa aliyoandaliwa na mwenyeji wake Rais wa Namibia Dr. Hage Geingob Ikulu jijini Windhoek usiku wa Jumatatu May 27, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipeana mikono na RAis Mstaafu wa Awamu ya Pili ya Jamhuri ya Namibia Mhe. Hifikepunye Pohamba wakati wa dhifa ya kitaifa aliyoandaliwa na mwenyeji wake Rais wa Namibia Dr. Hage Geingob (kushoto) Ikulu jijini Windhoek usiku wa Jumatatu May 27, 2019. Wa pili kushoto ni Rais Mstaafu wa Awamu ya kwanza wa Nchi hiyo Mhe. Sam Nujoma na Kulia na Makamu MWenyekiti wa CCM (Bara) Ndg. Philip Mangula

204 thoughts on “Rais Dkt. Magufuli Ashiriki Dhifa ya kitaifa iliyoandaliwa na Rais wa Namibia.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama