Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Rais Dkt Magufuli Arejea Dar es Salaam Akitokea Zanzibar Kwenye Sherehe za Miaka 54 ya Mapinduzi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda na viongozi wengine aliporejea kutoka Zanzibar alikohudhuria sherehe za miaka 54 ya Mapinduzi leo January 12, 2018.(Picha na Ikulu)


FacebooktwittermailFacebooktwittermail